Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Taja makosa ya refa siku ya leo?HAPO VIP!
YANGA TOKEA DUNIA IUMBWE HAIJAWAHI KUINGIA TOP 10 ZA CAF KAMA TIMU BORA NA KUBWA BARANI AFRIKA.
TIMU BORA NA KUBWA NDANI YA NCHI YA YAKE NA NJE YA NCHI YAKE NI TIMU AMBAYO INAFANYA VIZURI KIMATAIFA:
SIMBA IMESHAFIKA NUSU FINAL YA CLUB BINGWA MWAKA 1974,FINAL YA SHIRIKISHO MWAKA 1993.NAROBO FINAL ZA CLUB BINGWA MARA 7
YANGA HAPA ANAROBO FINAL 1 TU YA CLUB BINGWA NA FINAL 1 YA SHIRIKISHO.
YANGA NI TIMU YA WAPUMBAVU,KISIASA NA KIJINGA WANAFIKIRI USHINDI WANAOPEWA KISIASA NA MAREFA WA NDANI ILI WACHUKUE MAKOMBE YA MBUZI ITAWASAIDIA..?NI UPUMBAVU WALIOKOSA DIRA KWASABABU MAKOMBE YA NDANI NI SAWA NA MAKOMBE YA MASHINDANO YA SHULE ZA SECONDARY AMBAYO HAIWEZI KUISAIDIA LIGI YETU KUPANDA KIMATAIFA ILA KIWANGO NA UBORA WAKO KIMATAIFA NDIO UKUBWA WAKO NA NDIO TIMU BORA NA KUBWA KILA MAHALI.HATA KAMA HANA HAYO MAKOMBE YA MBUZI.
SASA YANGA IMESHIRIKI CLUB BINGWA MSIMU ULIOPITA NA MSIMU HUU ILA IMEISHA MAKUNDI,YAANI WAMESHINDWA KUONYESHA NI NAMNA GANI HUWA WANACHUKUA HAYO MAKOMBE YA LIGI KUU KWA UWALALI...NDIO MAANA HUWA NASEMA KATIKA HAYO MAKOMBE ALIYONAYO YANGA KUNA MAKOMBE 20 YA MAREFA WALIOWEZESHA KUSHINDA KWA HILA..MFANO KAYOKO PALE ANAMAOMBE YAKE 7. NA KUNA WANGINE WANAMAKOMBE YAO..HAPO UNAWEZA KUKUTA YANGA ANAMAKOMBE 12 YA HALALI.
HAWAJAMAA WALIVYOKUWA WAPUMBAVU UTASIKIA YANGA NDIO YA KWANZA KUANZISHWA..SASA MBONA PAMBA JIJI NA COASTAL UNION ZIMEANZISHWA KABLA YA AZAM,MAMELOD SUNDOWN NA BELAIZDAD SASA KWANINI ZISIWE KUBWA KULIKO HIZO TIMU KAMA UWAZISHWAJI NI KIGEZO CHA UKUBWA...ACHENI UPUUZI WASHABIKI WAYANGA.
LEO YANGA AMEDHIHIRISHA YAKWAMBA HUWA HANA UWEZO WA KUOFUNGA SIMBA ILA REFA NDIO HUWA ANAIFUNGAGA SIMBA.
Peleka hoja za kimaskini huko na duni...unakaa huko unaloko lokota vioja vyeusi vya kiafrika unaleta hapa kutaka kutetea ushetani.Taja makosa ya refa siku ya leo?
Mimi nimeona makosa ya washika vibendera mara mbili,attempt ya Dube sio Offside, attemp ya Selemani sio Offside, japo kabla ya kuscore aliushika mpira.
Hebu nitajie makosa ya refa.... maana kama washika vinendera wagekuwa fair hii mechi wewe ungefungwa, maana ile attempt ya Dube, ingefanikiwa Yanga ndio wangeweka bus completely na kupoteza mda.
Hoja za jamii masikini tunajua ..za kisengx Sengx kama hii yakwakoTaja makosa ya refa siku ya leo?
Mimi nimeona makosa ya washika vibendera mara mbili,attempt ya Dube sio Offside, attemp ya Selemani sio Offside, japo kabla ya kuscore aliushika mpira.
Hebu nitajie makosa ya refa.... maana kama washika vibendera wagekuwa fair hii mechi wewe ungefungwa, maana ile attempt ya Dube, ingefanikiwa Yanga ndio wangeweka bus completely na kupoteza mda.
Offside siku zote washika vibendera ndio hupaswa kulaumiwa.
Sasa unabishana mpaka na replay au hata wale watangazaji hukuwasikia? au ndio umeamua kubusha kama shipa wakati video replay zinakuumbua.Peleka hoja za kimaskini huko na duni...unakaa huko unaloko lokota vioja vyeusi vya kiafrika unaleta hapa kutaka kutetea ushetani.
Sawa Tranny.Hoja za jamii masikini tunajua ..za kisengx Sengx kama hii yakwako
waafrika wanajulikana na hoja zao zinajuliakana kwenye ukweli.Sasa unabishana mpaka na replay au hata wale watangazaji hukuwasikia? au ndio umeamua kubusha kama shipa wakati video replay zinakuumbua.
Sawa kabishane na Video replay.........waafrika wanajulikana na hoja zao zinajuliakana kwenye ukweli.
Yaani ya mwalimu ni tayari goli ila ya Dube ilikuwa analitafuta goli,sasa usemeje simba angefungwa.Kichwa chako kimejaa maviTaja makosa ya refa siku ya leo?
Mimi nimeona makosa ya washika vibendera mara mbili,attempt ya Dube sio Offside, attemp ya Selemani sio Offside, japo kabla ya kuscore aliushika mpira.
Hebu nitajie makosa ya refa.... maana kama washika vibendera wagekuwa fair hii mechi wewe ungefungwa, maana ile attempt ya Dube, ingefanikiwa Yanga ndio wangeweka bus completely na kupoteza mda.
Offside siku zote washika vibendera ndio hupaswa kulaumiwa.
Mfano mdogo tungekuwa na VAR ,pale tukio gani lilitakiwa kuexists au kabla ya kujibu kaangalie video replay,sababu kabla ya ile krosi Selemani alishika.Ila ninacho shukuru umekubali Dube haikuwa offside, sasa wewe unazani Dube hata angeruhusiwa alikuwa anakosa..... one against one? Huoni kichwa chako kimejaa uharo maana unajipa cheo cha utabiri.Yaani ya mwalimu ni tayari goli ila ya Dube ilikuwa analitafuta goli,sasa usemeje simba angefungwa.Kichwa chako kimejaa mavi
Selemani Mwalimu hakushika mpira kwenye ile first touch, mpira ulitua kifuani. Shida ni kwamba Azam hawana camera za kutosha kuonyesha angle zote. Ila ukiangalia vizuri HAKUSHIKA MPIRA. Au tuseme uliamini maneno ya golikipa Diarra?Mfano mdogo tungekuwa na VAR ,pale tukio gani lilitakiwa kuexists au kabla ya kujibu kaangalie video replay,sababu kabla ya ile krosi Selemani alishika.Ila ninacho shukuru umekubali Dube haikuwa offside, sasa wewe unazani Dube hata angeruhusiwa alikuwa anakosa..... one against one? Huoni kichwa chako kimejaa uharo maana unajipa cheo cha utabiri.
Hii mechi refa hana makosa ila vibendera ndio wanastahili lawama.
Kashika mpira kacontrol na mkono,leo nilikiwa kwenye kituo cha bus nimeona marudio ya match.Selemani Mwalimu hakushika mpira kwenye ile first touch, mpira ulitua kifuani. Shida ni kwamba Azam hawana camera za kutosha kuonyesha angle zote. Ila ukiangalia vizuri HAKUSHIKA MPIRA. Au tuseme uliamini maneno ya golikipa Diarra?
Yanga ni timu ya kipumbavu kwenye ligi yetuSelemani Mwalimu hakushika mpira kwenye ile first touch, mpira ulitua kifuani. Shida ni kwamba Azam hawana camera za kutosha kuonyesha angle zote. Ila ukiangalia vizuri HAKUSHIKA MPIRA. Au tuseme uliamini maneno ya golikipa Diarra?
Haijiamini, haipendi ushindani halali, full ujanja ujanja wa Kiswahili.Yanga ni timu ya kipumbavu kwenye ligi yetu
Mangungu anaonewa bure tatizo ni YangaYanga ni timu ya kipumbavu kwenye ligi yetu
Ukiweza kuleta ushahidi wa picha za TV Suleiman Mwalimu akishika mpira weka namba yako nikutumie pesa ya vocha.Kashika mpira kacontrol na mkono,leo nilikiwa kwenye kituo cha bus nimeona marudio ya match.