Simba inajitahidi kuipandisha ligi ya Tanzania, Yanga inajitahidi kuishusha

Ukiweza kuleta ushahidi wa picha za TV Suleiman Mwalimu akishika mpira weka namba yako nikutumie pesa ya vocha.
Sihitaji pesa yako jana nimeona kwenye stand bus niliolipanda na jioni yake nilipofikia still nilikiwa na mwenyeji wangu grocery still hilo tukio nililiona, halafu huna hela ya kunipa, huku nilipo tayari nimeingiza hela ndefu.
 
Wenye pesa hawapandi basi.Wewe ulipita kwenye vijiwe vya kuuzia magazeti ukajazwa uzushi.Weka ushahidi.Hakuna hata chombo kimoja cha habari kilichoweka ushahidi wa Suleiman kushika mpira.
 
Wenye pesa hawapandi basi.Wewe ulipita kwenye vijiwe vya kuuzia magazeti ukajazwa uzushi.Weka ushahidi.Hakuna hata chombo kimoja cha habari kilichoweka ushahidi wa Suleiman kushika mpira.
Endelea kukalili huyajui maisha,kuna madogo wanahela wanafunga mizigo mchana Dar usiku wanarudi mikoani na mabus.Ila hela ya kunipa nini huna, mimi naongea nilicho kiona. Inawezekana mda huu ukawa unaishi kwa shemeji.
 
Sihitaji pesa yako jana nimeona kwenye stand bus niliolipanda na jioni yake nilipofikia still nilikiwa na mwenyeji wangu grocery still hilo tukio nililiona, halafu huna hela ya kunipa, huku nilipo tayari nimeingiza hela ndefu.
Hiyo camera iliyoonyesha tukio ambalo wengine hatukuliona ulifunga wewe? Maana camera zilizokuwepo uwanjani hazikumuona Selemani Mwalimu akicheza mpira kwa mkono.
 
Reactions: Tui

So unalazimisha nilichoona mimi kiwe sawa na wewe? Wengi unazungumzia na nani?Kama unazungumzia wingi,basi na mimi kuna wengi wenzangu tuliona alishika kwa mkono.
 
Hiyo camera iliyoonyesha tukio ambalo wengine hatukuliona ulifunga wewe? Maana camera zilizokuwepo uwanjani hazikumuona Selemani Mwalimu akicheza mpira kwa mkono.
Huyu mlevi alizinduka usingizi akaona Selemani Mwalimu akishika mpira.!Handball ni foul zinazoamuliwa na refa na kama refa hajaona basi kibendera anatingisha kibendera chake kuonyesha handball na sio kunyoosha kama offside.Sasa linesman kwenye tukio la Suleiman Mwalimu alionyesha ishara ipi?
Akijibu ni tag.
 
Labda utukumbushe, Simba iliwahi kunyakua taji gani la Afrika pamoja na mafanikio hayo makubwa.🤷🤷🤷
 
Labda utukumbushe, Simba iliwahi kunyakua taji gani la Afrika pamoja na mafanikio hayo makubwa.🤷🤷🤷
Mafanikio sio taji tu..mafanikio ni mchakato na process ya muda mrefu...piq kuingia top ten za CAF kwa miaka mingi ni mafanikio makubwa kwasababu imekuwa miongoni mwa club kubwa na bora barazi Afrika na ukawezesha ligi ya Tanzania ikashika nafasi ya 5 katika bara la Afrika,pia ikawezesha timu nne kutoka Tanzania ikapewa nafasi ya kushiriki mashindano ya CAF ikiwemo yanga.

Kwa popote ulipo iyeshimu Simba,usiiongelea Simba kama yanga,pamba jiji au kama timu ya kawaida...ipe heshima yake
 
Reactions: Tui
Hizo rank za CAF sio vitu vya kujivunia kwasababu huwa hazidumu kama record. Tp Mazembe aliwahi kuwa 3 bora kwenye CAF ranking lakini leo hii hawezi kukumbukwa kwa hizo ranking bali mataji yake ya CAF. Hororya Wydad na CB Belouzdad walikuwa piga ua hauwakosi kwenye top 10 ya CAF ila leo hii wako wapi? Ranking sio vitu vya kutamba kwasababu hazidumu, na ndio maana leo Yanga aliyekuwa wa 75 miaka 4 nyuma ametokea kumkaribia Simba katika point ambao walikuwa piga ua robo fainali wamo.
 
Real Madrid wametwaa taji la klabu bingwa Ulaya mara 15 na Al Ahli imetwaa klabu bingwa Afrika mara 12 sasa hayo ndio mafanikio ya kuongelea.

Sasa timu hata haijawahi kuchukua kombe lolote katika bara la Afrika unasema imefaulu uko vizuri akilini kweli.

Sasa timu kama Gor Mahia ya Kenya yenyewe itasema nini..!!??🤷🤷🤷
 
Mkuu kunywa maji ya baridi, mwili usije ukalipuka. Pia tafuta shughuli ya kufanya, Simba na Yanga zimekufanya uwe mwehu.
 
Naona ya hana mmekaa kimya,matukio matatu ya penalty Singida wamenyimwa, refa kakaa kimya.
 
Naona ya hana mmekaa kimya,matukio matatu ya penalty Singida wamenyimwa, refa kakaa kimya.
Msemaji wenu si alishasema uamuzi wa mwisho ni wa Refarii?Sasa wewe no refarii?
 
Simba kama wanategemea wachezaji wao wafunge itachukua miaka zaidi ya mia ili wachukue ubingwa wa Tanganyika:
Leo nime hakiki baada ya kufanya utafiti wa muda mrefu sana;
Refaris wakitajwa wanafuatwa haraka na kuambiwa hivi;
Leo tukishinda kuna milioni zenu 4 kash:
Lefa akisafiri kurefarishwa analipwa 150,000 kwa siku moja:
na anahesabiwa siku nne
yaani analipwa 150,000 x 4= 600,000/= Cash
Hapo Bosi anakuja anamwambia hivi
"timu yetu ya Ugimbi ya Kurasini mivinjeni ikishinda tu leo refa tunakupa milioni nne yaani ni 4 milioni:
ahadi anaitoa mwenyekiti na yupo kila mechi:
Wewe kama refa utafanyaje hapo na nyumbani kuna njaa kali?
 
Ni kweli kabisa nakubaliana na wewe na hilo ndiyo iliyosababisha Singida kunyimwa penati mbili za wazi kabisa dhidi ya Simba. Kwasababu ya nguvu ya mwenyekiti anayesafiri kila mechi.
 
Ni kweli kabisa nakubaliana na wewe na hilo ndiyo iliyosababisha Singida kunyimwa penati mbili za wazi kabisa dhidi ya Simba. Kwasababu ya nguvu ya mwenyekiti anayesafiri kila mechi.
Golikipa kashika mpira tayari, Gwede anaenda kumgonga makusudi na kuanguka kama Prince Dube jana hapo nani ana haki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…