Karibu mechi zote za Simba walizocheza mikoani wamepata matokeo kwa tabu sana na kumetokea sintofahamu za dhulma au makosa ya marefa yaliyowanufaisha.
Kama ilivyo kwa Yanga ya msimu huu, hata Simba bado haijaiva vizuri tofauti na maneno na majigambo yaliyopo.
Ukikumbuka kilichotokea Dodoma (penati waliyopewa) na leo (goli la Pamba kukataliwa), utaona kuna dalili za kuangusha tena points. Bado wana kazi ya kufanya