- Thread starter
- #21
Jadili mada basiHivi zile milioni arobaini watampatia nani sasa?Utopolo hawana akili kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jadili mada basiHivi zile milioni arobaini watampatia nani sasa?Utopolo hawana akili kabisa.
Dhuluma ipiHao Leo wanashangilia ushindi wa dhuluma wala hawaitaji GSM
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Yanga wachezaji wameiva hadi wamezeeka wanabustiwa na sindano
Si kila jambo hujadiliwa maalim.Mengine unajidai kama haujaelewa tu.Jadili mada basi
Kwenye mahakama, wachezaji wa yanga ndo huwa wanaitwa wazee wa baraza.. 😆😆Yanga wachezaji wameiva hadi wamezeeka wanabustiwa na sindano
HaichekishiSisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.View attachment 3159198
Wiki hii Yanga imeogeza aka 1..Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.View attachment 3159198
Weka Ushahidi hapa ewe KoloYanga wachezaji wameiva hadi wamezeeka wanabustiwa na sindano
Walipie madeni wanayodaiwaHivi zile milioni arobaini watampatia nani sasa?Utopolo hawana akili kabisa.
Makolo mpaka sasa wameshasajili wachezaji wapya zaidi ya 18 na kocha mpya lakini bado tuKujenga timu kuna hitaji uvumilivu ambao viongozi na mashabiki hawana.
Ukishatuambia zile Bil. 20 za Mo ziko wapi tutaanza kujadili ya Yanga 🤣🤣🤣🤣Hivi zile milioni arobaini watampatia nani sasa?Utopolo hawana akili kabisa.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;Haichekishi
Bilioni ishirini tuligawiwa wanachama na hatujatoa siri hiyo.Ukishatuambia zile Bil. 20 za Mo ziko wapi tutaanza kujadili ya Yanga 🤣🤣🤣🤣
Wataanza kujilizaliza tu.Walipie madeni wanayodaiwa
Timu ya Taifa ilicheza Yanga!?Sindano mpaka timu za taifa,,aliyewaroga wanambumbu alishakufa,,izo sindano wanacheza michuano mikubwa na Wenye mamlaka awazioni isipokuwa vijana wa mangungu peke yao ndio wanaziona
Kujenga timu si kazi ya msimu mmoja,Arsenal ile mpaka unaiona pale Arteta kaisuka misimu miwili sasa hivi kidogo wana uhakika wa kushiriki UEFA na hata kwenye mbio za ubingwa nao Arsenal wamo. Kusuka timu sio swala dogo tatizo bongo viongozi hadi mashabiki mpira hatujui.Makolo mpaka sasa wameshasajili wachezaji wapya zaidi ya 18 na kocha mpya lakini bado tu
Sasa wasaidikeje?