Fumba macho tuiombee Simba Sports Club.🙏😎Karibu mechi zote za Simba walizocheza mikoani wamepata matokeo kwa tabu sana na kumetokea sintofahamu za dhulma au makosa ya marefa yaliyowanufaisha. Kama ilivyo kwa Yanga ya msimu huu, hata Simba bado haijaiva vizuri tofauti na maneno na majigambo yaliyopo.
Ukikumbuka kilichotokea Dodoma (penati waliyopewa) na leo (goli la Pamba kukataliwa), utaona kuna dalili za kuangusha tena points. Bado wana kazi ya kufanya
Hivi zile milioni arobaini watampatia nani sasa?Utopolo hawana akili kabisa.Yanga wachezaji wameiva hadi wamezeeka wanabustiwa na sindano
Utopolo awamu hii hawana namna,utawaona tu week ijayo hata waweke hela haina maanaHivi zile milioni arobaini watampatia nani sasa?Utopolo hawana akili kabisa.
Utopolo ni kama kidereva kizee na lori bovubovu.Utopolo awamu hii hawana namna,utawaona tu week ijayo hata waweke hela haina maana
Kadake senene acha kujinunisha wewe!Hao Leo wanashangilia ushindi wa dhuluma wala hawaitaji GSM
Sawa mtani hongeraKadake senene acha kujinunisha wewe!
Wakora mtani!🙏🤣🤣🤣Sawa mtani hongera
Matawi ya GSM yanaendelea kuteketezwa Moja baada ya jingine.Hao Leo wanashangilia ushindi wa dhuluma wala hawaitaji GSM
Sindano mpaka timu za taifa,,aliyewaroga wanambumbu alishakufa,,izo sindano wanacheza michuano mikubwa na Wenye mamlaka awazioni isipokuwa vijana wa mangungu peke yao ndio wanazionaYanga wachezaji wameiva hadi wamezeeka wanabustiwa na sindano
Kumbe yanateketezwa basi tuishi humoMatawi ya GSM yanaendelea kuteketezwa Moja baada ya jingine.
Haya bhanaHivi zile milioni arobaini watampatia nani sasa?Utopolo hawana akili kabisa.
SawaTunajenga timu na bado hautajajipata ndo kwanza tupo kwenye 50% bado 50% nyingine tuive.
SawaKumbe yanateketezwa basi tuishi humo