Hilo tunalijua hilo siyo wekezaji ndo maana hata uwanja kauita jina lako,yule ni mnyonyajiSimba ni club isiyojielewa wameng'ang'ania kusajili wazee kale kahindi ka Miyomboni Singida.
ndiko kanako iumiza Simba kukiwa na mechi ambayo inaingizia Simba pesa nyingi katajitokeza na kudai.
kametoa pesa nyingi ili kapate sababu ya kuzichukua pesa baada ya hapo hakaonekani tena
Simba zindukeni hako siyo kafadhili kanajinufasha Kigwangala anaengea lakini hakuna anayemuunga mkono.
Ipo siku mtamuelewa poleni sana
Wakiongozwa na wasio na akili pale jangwaniVijana wa Rage ni mtihani kwa kweli!!! na ndio waliojazana pale umbumbumbu fc
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Umemwita ndugu Mwasibu atie neno...[emoji1787]Ishu ya Morison ni tofauti sana na Aziz Ki.
1) Simba ilimuhitaji Aziz Ki kabla hata ya kuja Yanga, je kipi kilichomfanya achague Yanga badala ya Simba?
2) Morison aliondoka Yanga baada ya kugundua Simba ndiyo timu iliyokuwa katika kiwango bora zaidi Tanzania na kifedha walikuwa wako vyema pia. Ila sasa hivi Yanga ndiye mtawala kwa Tanzania, pesa nzuri utazipata Yanga kuliko Simba, na soka zuri utalipata Yanga pia kuliko upande wa pili ambao mpaka sasa watafutana mchawi. Mlichoshindwana na Aziz Ki ni pesa na mkiamini kuwa hana thamani hiyo. Saivi imekuaje mnamtaka mchezaji anayeipa Yanga hasara ya milioni 400? CPA OKW BOBAN SUNZU njoo muhasibu wa Msimbazi utie neno
Na Mangungo.....M/kitu hewaWakiongozwa na wasio na akili pale jangwani
Wangekuwa hawana akili mngefungwa 5?Wakiongozwa na wasio na akili pale jangwani
Kwa kweli Rage ajengewe Mnara...aliona mbali.Mashabiki wa Yanga wanapiga kelele kama nyani - Lucy Emanuel
Ninukuu usireport kwa mod
Hayo ni maneno ya mkosaji hamna utimamu wowote.Ni kawaida chizi kumvizia na kumpiga mtu mwenye akili timamu
Pacome alisajiwa asec baada ya aziz ki kuondoka, sasa unasemaje walikua wote asec?Nilichogundua aziz ki sasahivi ana perform vizuri zaidi Kuliko mwaka Jana sababu
1. maelewano mazuri ndani na nje ya uwanja na Pacome na Yao Kumbuka hawa ni marafiki tangu wakiwa asec .
2. Maelewano mazuri na kocha gamondi na benchi la ufundi .
Amin usi amini akitoka Kwenye hili group atajitafuta ,hizi ni sababu za kiufundi ( technical ) na kijamii ( social).
Narudia Rage apewe Maua yake...Yanga wenye akili ni wawili ,Sunday Manara na Kikwete- Haji Manara.
Kwani hujaona ile ya 9-0?Kwanza 6-0 hamjalipa
5-0 hamjalipa
Simba haina scout team ndio maana Hua wanakaa kusikiliza Yanga wanataka kumsajili Nani halafu wao wanakimbiliaKwani ni lazima Aziz K? Makolo hamuoni wengine? tuachieni Aziz K wetu.
Ndio mkuu lazima tuheshimu fani za watu, huyu ni muhasibu mkuu wa Msimbazi. Je yeye ametoa baraka ya huu usajili?Umemwita ndugu Mwasibu atie neno...[emoji1787]
Wanasajili wazee wanaacha kusajili vijana 😀 😀Simba haina scout team ndio maana Hua wanakaa kusikiliza Yanga wanataka kumsajili Nani halafu wao wanakimbilia
Rejea mchezaji kama Chama, Rally bwalya, Miqueson,
Na wakienda kusajili Kwa scouting Yao huleta vibweka ,mfano sawadogo,Ayub, chikwende, pape ndaw, junior lukosa,