Tetesi: Simba inamnyemelea Aziz Ki

Tetesi: Simba inamnyemelea Aziz Ki

Wana misimu miwili ya kujipanga vinginevyo vyura fc wataendelea kutamba sana
 
Simba ni club isiyojielewa wameng'ang'ania kusajili wazee kale kahindi ka Miyomboni Singida.

ndiko kanako iumiza Simba kukiwa na mechi ambayo inaingizia Simba pesa nyingi katajitokeza na kudai.

kametoa pesa nyingi ili kapate sababu ya kuzichukua pesa baada ya hapo hakaonekani tena

Simba zindukeni hako siyo kafadhili kanajinufasha Kigwangala anaengea lakini hakuna anayemuunga mkono.
Ipo siku mtamuelewa poleni sana
Hilo tunalijua hilo siyo wekezaji ndo maana hata uwanja kauita jina lako,yule ni mnyonyaji
 
Hutakaa usikie Azizi K kahama yanga kwa kuvunjiwa mkataba na Simba ila timu za nje sawa
Siyo kuvunjiwa mkataba,mkataba wako unaisha mwezi ujao mwishoni na dirisha dogo linafunguliwa,je simba wakimpa donge nono hawezi kukubali?
 
Ishu ya Morison ni tofauti sana na Aziz Ki.
1) Simba ilimuhitaji Aziz Ki kabla hata ya kuja Yanga, je kipi kilichomfanya achague Yanga badala ya Simba?

2) Morison aliondoka Yanga baada ya kugundua Simba ndiyo timu iliyokuwa katika kiwango bora zaidi Tanzania na kifedha walikuwa wako vyema pia. Ila sasa hivi Yanga ndiye mtawala kwa Tanzania, pesa nzuri utazipata Yanga kuliko Simba, na soka zuri utalipata Yanga pia kuliko upande wa pili ambao mpaka sasa watafutana mchawi. Mlichoshindwana na Aziz Ki ni pesa na mkiamini kuwa hana thamani hiyo. Saivi imekuaje mnamtaka mchezaji anayeipa Yanga hasara ya milioni 400? CPA OKW BOBAN SUNZU njoo muhasibu wa Msimbazi utie neno
Umemwita ndugu Mwasibu atie neno...[emoji1787]
 
Nilichogundua aziz ki sasahivi ana perform vizuri zaidi Kuliko mwaka Jana sababu

1. maelewano mazuri ndani na nje ya uwanja na Pacome na Yao Kumbuka hawa ni marafiki tangu wakiwa asec .

2. Maelewano mazuri na kocha gamondi na benchi la ufundi .

Amin usi amini akitoka Kwenye hili group atajitafuta ,hizi ni sababu za kiufundi ( technical ) na kijamii ( social).
Pacome alisajiwa asec baada ya aziz ki kuondoka, sasa unasemaje walikua wote asec?

Yao na aziz ki ndo walikua pamoja ila pacome hakuwepo.. asec walimsajili pacome kuziba nafas ya aziz ki aliyeondoKa
 
Kwani ni lazima Aziz K? Makolo hamuoni wengine? tuachieni Aziz K wetu.
Simba haina scout team ndio maana Hua wanakaa kusikiliza Yanga wanataka kumsajili Nani halafu wao wanakimbilia
Rejea mchezaji kama Chama, Rally bwalya, Miqueson,
Na wakienda kusajili Kwa scouting Yao huleta vibweka ,mfano sawadogo,Ayub, chikwende, pape ndaw, junior lukosa,
 
Simba haina scout team ndio maana Hua wanakaa kusikiliza Yanga wanataka kumsajili Nani halafu wao wanakimbilia
Rejea mchezaji kama Chama, Rally bwalya, Miqueson,
Na wakienda kusajili Kwa scouting Yao huleta vibweka ,mfano sawadogo,Ayub, chikwende, pape ndaw, junior lukosa,
Wanasajili wazee wanaacha kusajili vijana 😀 😀
 
Back
Top Bottom