Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio goli tano. Tuliwachomeka mabao sita.simba wamebaki kusema yanga hatutaweza kuludisha zile goli 5,,wamebaki na stori za kale wakati dunia inakuwa update kila mda
Kauli thabiti na hadi ulipowajibu walikwishajionyesha wote kuwa wana akili za mbuni, kuficha kichwa na mwili uko wazi. Naam Tambwe aliachwa akiwa mfungaji Simba na Kiiza aliachwa akiwa mfungaji Yanga sasa tatizo liko wapi?Chongeni tu,maana ndiyo kazi yenu.Kiiza hajaanza kuachwa na simba.Hata nyinyi yanga mulimwacha.Hivyo suala la nani acheze simba ni la wanasimba na si Yanga.
kumbe bado mpo kiistoria tuuuuuuuSio goli tano. Tuliwachomeka mabao sita.