Salt Bae
Senior Member
- Jan 9, 2019
- 140
- 196
Ushabiki mwingine sio kabisa yani mashabiki wa Yanga kila match ya Simba hata kabla haijaanza wanasema match imeuzwa.
Yani team itoke kufungwa match mbili mfululizo kwa idadi kubwa ya magoli haikukata tamaa wakaja kuwafunga Al Ahly leo hii wanacheza na team inayoburuza mkia African lyon au Azam ambayo ina matokeo mabaya mnakimbilia kusema wamenunua match sio fair kabisa