Simba inanunua mechi

Simba inanunua mechi

Salt Bae

Senior Member
Joined
Jan 9, 2019
Posts
140
Reaction score
196
Ushabiki mwingine sio kabisa yani mashabiki wa Yanga kila match ya Simba hata kabla haijaanza wanasema match imeuzwa.

Yani team itoke kufungwa match mbili mfululizo kwa idadi kubwa ya magoli haikukata tamaa wakaja kuwafunga Al Ahly leo hii wanacheza na team inayoburuza mkia African lyon au Azam ambayo ina matokeo mabaya mnakimbilia kusema wamenunua match sio fair kabisa
 
Yani team itoke kufungwa match mbili mfululizo kwa udadi kubwa ya magoli haikukata tamaa wakaja kuwafunga Al Ahly leo hii wanacheza na team inayoburuza mkia African lyon au Azam ambayo ina matokeo mabaya mnakimbilia kusema wamenunua match sio fair kabisa
Yaani hata ile Kagere alipowadokoa kimoja kama cha nguruwe wanataka kusema tuliinunua??

Kama wao wanauza kwanini wengine wasiuze??
 
Vipi dogo na wewe umeuza mechi
52608627_250913755818351_3606806371451797504_n.jpeg
 
Ushabiki mwingine sio kabisa yani mashabiki wa Yanga kila match ya Simba hata kabla haijaanza wanasema match imeuzwa.

Yani team itoke kufungwa match mbili mfululizo kwa idadi kubwa ya magoli haikukata tamaa wakaja kuwafunga Al Ahly leo hii wanacheza na team inayoburuza mkia African lyon au Azam ambayo ina matokeo mabaya mnakimbilia kusema wamenunua match sio fair kabisa
Kipa Lipuli game kadhaa nimeziangalia Ila Leo kafanya individual errors za makusudi nyingi sana,biashara ipo vizuri
 
Simba wananunua... Walinunua kwa al ahaly wakaja wakanunua na kwa yanga. Yanga wanauza kwa simba .....😁😁😁

Back
Top Bottom