Yule ni shareholder wewe chura,analipia share alizonunuaNyie mnaenda kimataifa kwa bakuli la muhindi
Sisi la bakuli la Wananchi, hapo vipi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mkia una uelewa mdogo sanaYule ni shareholder wewe chura,analipia share alizonunua
Yanga mnataka ubingwa kwa timu gani mliyonayo?mtaenda kimataifa kwa bakuli?
Nyie Majogolo kwa nini mnataka kina Lipuli waifunge Simba wakati nyinyi hiyo kazi iliwashinda tarehe 16 mkaishia kubaki
Kwani wewe Chura yupi wa njano au wa kijani? Yanga omba omba au Yanga wanaompigia magoti Manji???Hiyo kauli siyo ya Yanga, mnajitekenya wenyewe.
Ninashangaa sana, tena nitaendelea kushangaa. Hivi Yanga mnapoita wana simba mbumbumbu mnakua na maana gani?Wewe mkia una uelewa mdogo sana
Concept hapa, ni chanzo cha mapato (bila kujali ni kupitia share holding au kupitia donation)
Kwamba hela ya mikia inatoka wapi
Na hela ya Yanga inatoka wapi
Majibu yake ndio hayo niliyokupa, hela ya mikia inatoka kwa muhindi na hela ya Yanga inatoka kwa Wananchi
Ndio maana muhindi mmoja unaweza ukamteka timu ikayumba, lakini huwezi kuteka Wananchi wote...... Nadhani sasa mkia umenielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mfano mama yako anaitwa mkia ungefurahi? Au sababu ni simba hawana madhara kwenye maisha yako sioWewe mkia una uelewa mdogo sana
Concept hapa, ni chanzo cha mapato (bila kujali ni kupitia share holding au kupitia donation)
Kwamba hela ya mikia inatoka wapi
Na hela ya Yanga inatoka wapi
Majibu yake ndio hayo niliyokupa, hela ya mikia inatoka kwa muhindi na hela ya Yanga inatoka kwa Wananchi
Ndio maana muhindi mmoja unaweza ukamteka timu ikayumba, lakini huwezi kuteka Wananchi wote...... Nadhani sasa mkia umenielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ya tarehe 16 Februari 2019 ilikupa machungu sana.Ulibet mume wako nini?Manunuzi FC.