Simba inanunua mechi

Simba inanunua mechi

...
IMG-20190226-WA0095.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga ndiyo mlianza ushenzi wa kuuza mechi Feb 16. Na wengine wote wanaiga kutoka kwenu.

Azam kauza, Lyon kauza na Lipuli kauza sasa tuko kwenye mazungumzo ya ununuaji na Stand United.
 
Yule ni shareholder wewe chura,analipia share alizonunua
Wewe mkia una uelewa mdogo sana

Concept hapa, ni chanzo cha mapato (bila kujali ni kupitia share holding au kupitia donation)

Kwamba hela ya mikia inatoka wapi

Na hela ya Yanga inatoka wapi

Majibu yake ndio hayo niliyokupa, hela ya mikia inatoka kwa muhindi na hela ya Yanga inatoka kwa Wananchi

Ndio maana muhindi mmoja unaweza ukamteka timu ikayumba, lakini huwezi kuteka Wananchi wote...... Nadhani sasa mkia umenielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muhindi mmoja alipigiwa magoti akagoma timu ikayumba ikabidi vyura watembeze bakuli.
Kujinadi eti timu ya wananchi mnashindwa hata kulipa wachezaji mishahara!
Kocha wenu keshachoka na anashangaa kusikia timu Ina wapenzi lakini hata kuchanga ifikie milioni 200 kazi.
Na yeye anataka bilioni 2.Watu wanachanga kwenye bakuli kila mwezi elfu 79 eti timu ya "wananchi".
Hamwoni hata aibu kutumia hilo jina.?
Labda tuiite timu ya omba omba.
 
Wewe mkia una uelewa mdogo sana

Concept hapa, ni chanzo cha mapato (bila kujali ni kupitia share holding au kupitia donation)

Kwamba hela ya mikia inatoka wapi

Na hela ya Yanga inatoka wapi

Majibu yake ndio hayo niliyokupa, hela ya mikia inatoka kwa muhindi na hela ya Yanga inatoka kwa Wananchi

Ndio maana muhindi mmoja unaweza ukamteka timu ikayumba, lakini huwezi kuteka Wananchi wote...... Nadhani sasa mkia umenielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ninashangaa sana, tena nitaendelea kushangaa. Hivi Yanga mnapoita wana simba mbumbumbu mnakua na maana gani?
Hivi kati yenu na wana simba nani ni mbumbumbu?
Mnasema Yanga ni ya wananchi hivi mnaelewa maana ya wananchi, Hivi KMC na Yanga ipi timu ya wananchi?
Yanga muache umbumbumbu Timu ya Yanga ni ya wanachama si ya wananchi. Ndo mana timu yenu inachangiwa na wanachama wa Yanga pekee na si wasio wanachama wa Yanga, pia ndo mana kwenye club yenu kuna kadi za uanachama na mnalipia kila mwaka.
Timu tunayoita ya wananchi ni KMC, Mbeya city hizo ndo mfano wa timu za wananchi mana zinaendeshwa na kodi za wananchi.haijalishi wewe ni mwana Yanga, simba nani lakini kodi yako ndo inaendesha hizi timu.
Huo pia ni umbumbumbu kutokutofautisha kati ya mwanachama na mwananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mkia una uelewa mdogo sana

Concept hapa, ni chanzo cha mapato (bila kujali ni kupitia share holding au kupitia donation)

Kwamba hela ya mikia inatoka wapi

Na hela ya Yanga inatoka wapi

Majibu yake ndio hayo niliyokupa, hela ya mikia inatoka kwa muhindi na hela ya Yanga inatoka kwa Wananchi

Ndio maana muhindi mmoja unaweza ukamteka timu ikayumba, lakini huwezi kuteka Wananchi wote...... Nadhani sasa mkia umenielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mfano mama yako anaitwa mkia ungefurahi? Au sababu ni simba hawana madhara kwenye maisha yako sio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watembeza bakuli baada kupiga magoti kubuma FC.
Mijitu mijinga haiwezi hata kusimamia pesa ya ufadhili inabidi wawapitie wajinga kukusanya elfu moja moja zao.
 
Kinachoudhi kwanini Chura wameuza mechi yao na Simba bei rahisi. Kwa ukata unaowakabili wangesema dau kubwa lingeweza kuwasaidia kulipa mishahara wachezaji wao.
 
Back
Top Bottom