Mikia FC bana.Mechi ya tarehe 16 Februari 2019 ilikupa machungu sana.Ulibet mume wako nini?
Kwa maelezo yako inaonekana unafurahia hatua iliyonayo Yanga kwa sasa.Wewe mkia una uelewa mdogo sana
Concept hapa, ni chanzo cha mapato (bila kujali ni kupitia share holding au kupitia donation)
Kwamba hela ya mikia inatoka wapi
Na hela ya Yanga inatoka wapi
Majibu yake ndio hayo niliyokupa, hela ya mikia inatoka kwa muhindi na hela ya Yanga inatoka kwa Wananchi
Ndio maana muhindi mmoja unaweza ukamteka timu ikayumba, lakini huwezi kuteka Wananchi wote...... Nadhani sasa mkia umenielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaogopa kuchukua FA kwakuwa mechi ya ufunguzi watakutana na Mnyama.Vyura bana kwisha habari yake. Waelekezetu nguvu kwenye fa cup huku kombe linawenyewe. Nawenyewe wamerudi ni dozi mpaka mwisho.
Kwa maelezo yako inaonekana unafurahia hatua iliyonayo Yanga kwa sasa.
Unaweza kusema kwa nn Yanga wanamlilia MANJI?
Unaweza kusema kwa nn Yanga wanachangishana awamu hii tofauti na awamu zilizopita?
Unataka kusema klabu zenye wadhamini ni wajinga? Yanga ndio mna akili?
Kama zinakutosha njoo ujibu hapa.