Simba inanunua mechi

Simba inanunua mechi

Wewe mkia una uelewa mdogo sana

Concept hapa, ni chanzo cha mapato (bila kujali ni kupitia share holding au kupitia donation)

Kwamba hela ya mikia inatoka wapi

Na hela ya Yanga inatoka wapi

Majibu yake ndio hayo niliyokupa, hela ya mikia inatoka kwa muhindi na hela ya Yanga inatoka kwa Wananchi

Ndio maana muhindi mmoja unaweza ukamteka timu ikayumba, lakini huwezi kuteka Wananchi wote...... Nadhani sasa mkia umenielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maelezo yako inaonekana unafurahia hatua iliyonayo Yanga kwa sasa.
Unaweza kusema kwa nn Yanga wanamlilia MANJI?

Unaweza kusema kwa nn Yanga wanachangishana awamu hii tofauti na awamu zilizopita?

Unataka kusema klabu zenye wadhamini ni wajinga? Yanga ndio mna akili?

Kama zinakutosha njoo ujibu hapa.
 
Mkuu Makahaba FC wasikuchoshe. Haziwatoshi.
 
Akikujibu mkuu naomba unitag

Back
Top Bottom