Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Kinachoibeba Yanga ni kitendo cha wao kuwajaribu wachezaji wao waliowasajili na sio kwa dakika tano bali wanapewa muda mwingi uwanjani tofauti na Simba ambavyo inasajili wachezaji Ila haiwapi nafasi ya kutosha mfano Luiz Miqson ni mtu anayepaswa kupewa muda mwingi uwanjani ili akili + fitness yake iwe timamu!
Luis ni mtu anayeweza kuleta hamasa ndani ya timu akipewa nafasi Ila kocha hamwamini!
🆗 ILA YANGA JANA MLICHOFANYA DAAAAÀ!
Luis ni mtu anayeweza kuleta hamasa ndani ya timu akipewa nafasi Ila kocha hamwamini!
🆗 ILA YANGA JANA MLICHOFANYA DAAAAÀ!