nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Harudi huyu😂😂Una uhakika haijawahi kufanywa na timu yoyote? Au ushamsahau Nchimbi au unajitoa ufahamu tu.
Wee kale migebuka ulale mambo ya mpira hayakuhusu!Huu ni upoyoyo mkubwa sana. Simba ikifungwa na mchezaji yeyote anataka kumsajili.
Ni rekodi ya pekee haijafanywa na timu yoyote duniani.
Tumieni akili
Halafu utakuta na wewe unajiita shabiki wa mpira wa miguu. Mkuu rudi tu kwenye fani yako ya ukabwili huku umepotea njia.Huu ni upoyoyo mkubwa sana. Simba ikifungwa na mchezaji yeyote anataka kumsajili.
Ni rekodi ya pekee haijafanywa na timu yoyote duniani.
Tumieni akili
Hebu jaribu kuweka mada yako vizuri mkuu. Unazungumzia wwchezaji wa nafasi za ushambuliaji ? Au unazungumzia kwa ujumla ?Huu ni upoyoyo mkubwa sana. Simba ikifungwa na mchezaji yeyote anataka kumsajili.
Ni rekodi ya pekee haijafanywa na timu yoyote duniani.
Tumieni akili
Majamaa mengine sijui yanatumiaga kiungo gani kuwaza! Yaan yamesahau yalivyowasajili kwanyakat tofaut matheo anthon na emanuel martin baada yakuwanyorosha tena kwenye friend games?Una uhakika haijawahi kufanywa na timu yoyote? Au ushamsahau Nchimbi au unajitoa ufahamu tu.
Mfano nani?Huu ni upoyoyo mkubwa sana. Simba ikifungwa na mchezaji yeyote anataka kumsajili.
Ni rekodi ya pekee haijafanywa na timu yoyote duniani.
Tumieni akili
aliyefunga goli ni Gbeuli Wilfred, na anayehitajika ni Victorien Adebayor. Ulianzisha uzi kwa kukurupuka kama dog. By the way, kama sheria hazizuii, wasajiliwe tu. Yanga haisajili walioifunga kwa sababu haishiriki michuano yoyote ya CAF, kwa hiyo haifungwi 🤣🤣🤣Huu ni upoyoyo mkubwa sana. Simba ikifungwa na mchezaji yeyote anataka kumsajili. Ni rekodi ya pekee haijafanywa na timu yoyote duniani.
Hana akili huyo.. achana naeKwani Adebayo aliifunga lini Simba ?
Au Mses phili au Mugalu. Au Sacho na Banda ?
Wanamuogopa Adebayo na hofu imeanza kudhihirikaKwani Adebayo aliifunga lini Simba ?
Au Mses phili au Mugalu. Au Sacho na Banda ?
Msamehe Bure Huyo Ndiyo Wauza Jezi Bila Takwimu Wanajisemea TuKinachokutesa ni nini sasa??
😄😃😀Msamehe Kashiba Samaki Wanaitwa Ngege Wapo Kigoma Hukoaliyefunga goli ni Gbeuli Wilfred, na anayehitajika ni Victorien Adebayor. Ulianzisha uzi kwa kukurupuka kama dog. By the way, kama sheria hazizuii, wasajiliwe tu. Yanga haisajili walioifunga kwa sababu haishiriki michuano yoyote ya CAF, kwa hiyo haifungwi 🤣🤣🤣
Haa Msamehe Bure Huyo Hajui LoloteUto kama uto....
Kwa hiyo umeona uteseke na jambo hilo?
Kubwa jinga wewe!!!