Iwensanto
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,228
- 1,157
Muddy hajitambui mkuu amefanya Simba kama mali yake
Huu ni upoyoyo mkubwa sana. Simba ikifungwa na mchezaji yeyote anataka kumsajili.
Ni rekodi ya pekee haijafanywa na timu yoyote duniani.
Tumieni akili