Simba inatengeneza rekodi ya pekee, mchezaji wa timu nyingine akiwafunga wanamsajili

Inawezekana inatokana na uimara wa kikosi cha Simba.

Kama wako imara na ukawafunga, ina maana nawe uko bora pia..
Siyo dhambi ukisajiliwa.

Lakini wapo waliosajiliwa bila kuifunga Simba.

Punguza story za kwenye kahawa
 
Huu ni upoyoyo mkubwa sana. Simba ikifungwa na mchezaji yeyote anataka kumsajili.

Ni rekodi ya pekee haijafanywa na timu yoyote duniani.

Tumieni akili
Hivi unajua Man U walimjuaje Ronaldo? Au ni mtoto wa juzi kwenye kufuatilia soka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…