Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Simba mkubwa
Mechi zote za EPL, Spanish PL, Portuguese PL, Bundesliga, Serie A etc zote zipo kwenye makampuni karibu yote ya kubetia
Tena mpaka mechi za mwezi August zipo
Why not ya Mnyama!?
Mnakhofia nini!?
Wydad kawapenyezea Fungu nini!?
Nevertheless: Wydad 1-2 Simba
NB:Ushabiki pembeni,japo miye mwanayanga lialia,Simba akishinda Leo,itasidia kuwaogopesha swala na Digi Digi wasiwe wanajipitisha piisha ovyo katika Poli la Tanzania