Simba inavyozama sasa una chochote cha kuwashauri?

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wakuu
Team yetu ya simba kwa sasa iko vibaya sana na hovyo, kiasi kwamba hata mechi zimekuwa za kuunga unga, tunaogopa hata kucheza na kina kagera..!

Kiuongozi pia team yangu pendwa inazama sana kwani tajiri yetu MO anazidi kujitajirisha na kuleta migogoro ndani ya timu kupitia CEO wake Barbra.

Hata kiuwezo tumesajiri wachezaji wengi wa kawaida na kwa kukurupuka sana tofauti na wenzetu yanga.
Hebu fikiria sisi simba wa kushinda kamoja kamoja kweli?
Sisi simba brand kubwa hata kujenga uwanja kama wa ihefu mpka tuchangishane/ kutembeza bakuri.

Angalia yanga wamemchukua Denis nkane ambaye ni promising talent kutokana na umri wake, sisi tunakazania wazee kina bocco, onyango, kapombe, wawa, kagere, hawa walipaswa kucheza championship huko..

Simba yangu inazama, shauri chochote kabla team yetu haijazama..
 
Katika maisha kunakupanda na kushuka, huwezi kuwa sahihi kila wakati. Japo sioni kama kunachangamoto zote ulizozisema hata hapo walipo Simba nawapongeza nilitegemea performance mbovu zaidi. Take it easy mkuu.
 
Hz timu zimeliwa mno,kwa jinsi znavyopendwa zilkuwa na uwezo wa kuwa na uwanja kama wa mpaka.kama zingekuwa znapata viongoz wenye weledi
 
Simba imecheza mechi nane za ligi haijafungwa hata moja zaidi ya kutoa droo tatu na kushinda tano na inashika nafasi ya pili nyuma ya yanga

Imecheza mechi mbili za club bingwa moja imeshinda ugenini na moja imepoteza nyumbani

Imecheza shirikisho imeshinda moja nyumbani na kufungwa moja ugenini

Kwa ujumla imecheza jumla ya mechi 12 na imepoteza mbili Tu tena za kimataifa

So Kwa mantiki hii ni bado mapema sn Kusema Simba ni timu mbovu au ina wachezaji wabovu ,wakati inawapumulia yanga kisogoni.

Tatizo lililopo ni kufanya comparison Kati ya Simba Ile ya msimu uliopita na Simba hii ya Leo na Simba Ile dhidi ya yanga Ile na Simba hii ya sasa dhidi ya yanga hii ya sasa

Mleta mada,bado mapema Sana kuandika nyuzi za Aina hii, kuna timu ulaya zimecheza mechi zaidi ya 20 bado hazijawa competent kwenye ligi zao lkn mashabiki wa hizo timu hawana wenge km wewe.. Simba mechi 12 unaihuku timu mbovu?

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu
Team yetu ya simba kwa sasa iko vibaya sana na hovyo, kiasi kwamba hata mechi zimekuwa za kuunga unga, tunaogopa hata kucheza na kina kagera..!

Kiuongozi pia team yangu pendwa inazama sana kwani tajiri yetu MO anazidi kujitajirisha na kuleta migogoro ndani ya timu kupitia CEO wake Barbra.

Hata kiuwezo tumesajiri wachezaji wengi wa kawaida na kwa kukurupuka sana tofauti na wenzetu yanga.
Hebu fikiria sisi simba wa kushinda kamoja kamoja kweli?
Sisi simba brand kubwa hata kujenga uwanja kama wa ihefu mpka tuchangishane/ kutembeza bakuri.

Angalia yanga wamemchukua Denis nkane ambaye ni promising talent kutokana na umri wake, sisi tunakazania wazee kina bocco, onyango, kapombe, wawa, kagere, hawa walipaswa kucheza championship huko..

Simba yangu inazama, shauri chochote kabla team yetu haijazama..
Labda wewe mtopolo kuna kitu kigumu chenye ncha butu kinazamishwa maungoni mwako

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni nyani wa pori la Utopolo

Wewe ndio mwana Simba mwenye kujitambua
 
Una moyo ndgu yangu , hiyo juhudi yote ya kumjibu utopolo unaitoa wapi? Hivi wewe(Simba) Leo hii uanze kuipa Yanga nondo za kuimarika kuna mtu atakuelewa, kilichoandikwa hpo ukisoma vzr utagundua ni chili dhidi ya Simba, ukishaona sentensi Mo anajitajirisha....basi
 
Huyo ni nyani wa pori la Utopolo

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Una moyo ndgu yangu , hiyo juhudi yote ya kumjibu utopolo unaitoa wapi? Hivi wewe(Simba) Leo hii uanze kuipa Yanga nondo za kuimarika kuna mtu atakuelewa, kilichoandikwa hpo ukisoma vzr utagundua ni chili dhidi ya Simba, ukishaona sentensi Mo anajitajirisha....basi
Twende nae taratibu tu ataelewa,tusitumie hasira.Hawa jamaa ninwabishi, wagumi kuelewa na wajuaji ndy maana Luc Eymel akawapa lile jina mbaya
 
Yani uwe tu anacomment kwenye mada sio kuanzisha mada,huja hoja,low reasoning,
 
Back
Top Bottom