Raja mbna alimvuna kolo 3 Kwa mkapaKwa Mkapa Simba anashinda No doubt hasa kama mechi itapigwa saa 10 ila kama saa moja watashuhudia dance Moja matata kutoka Morroco
Ila kule Casablanca ndiko shughuli itakapokuwa nzito maana atakula 8 ili kurejesha goli zake za mkapa
Jenerali ame panicView attachment 2579226
Hiyo picha ya huyo Simba na hii zinafanana sana
Ni kaka yake braza rajaBingwa mtetezi wa cafcl Wydad AC ndugu yake Raja Casablanca.
FactsUtopoloni tunaamini Simba wote ni mbumbumbu yaani kolo kamwe hawezi kuwaza nje ya box! Like hapa nadhani ungewaza zaidi
shida si kusajili Bali unasajili nani , ana kiwango Gani na je una kocha? Wa level Gani? Je ukisajili kutakuwa na muunganiko kitimu? Je mna hela? je mnalipaje? Je wachezaji Wana furaha, je wachezaji Wana morali? Je wachezaji wanaojitambua mnao?
Mambo ni mengi sio kusajili tu!
Hii level ya boli la Yanga kwa sasa sio miaka michache Makolo kuifikia!! Hebu Ona Mudathir alivyo moto mnapitaje katikati kwa mfano? Bangala, Musonda, Mayele hatari sana!!
Simba imefeli pakubwa mno kujipanga ni five years!!
Beki mwenyewe ni onyangoNa hilo ndilo kosa ambalo Simba watalifanya kutaka kumshambulia sana mwarabu tangu dakika ya kwanza ili kummaliza mapema, huku mwarabu akipiga kaunta ataki, shambulizi moja, goli moja.
Navyoona msimu huu Simba akubali alichemka katika usajili wa mabeki. Simba inacheza vizuri kuanzia kati kwenda mbele na wanaweza kuifunga tu timu yoyote, ishu inakuja, je wanaweza kulinda magoli wanayoyapata kwa dakika 90?
Babu Onyango 🤪Beki mwenyewe ni onyango
Simba mbeleni ndio itakuwa mbaya kuliko hi ya SASSimba asipopita atajipanga kwa mashindano yajayo. Simba inaendelea kupata uzoefu wa mashindano haya makubwa.
Kwann mkuuSimba mbeleni ndio itakuwa mbaya kuliko hi ya SAS
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tuwaombee mema mkuuSimba watapigwa vibaya nnje ndani na akicheza atapigwa magolin mengi mno siyo Chini ya saba
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndio nini?Simba asipopita atajipanga kwa mashindano yajayo. Simba inaendelea kupata uzoefu wa mashindano haya makubwa.
Mpo wa kwanza au[emoji23]Kabla ya kupost hakiki hii orodha kama timu lako lipo hapoView attachment 2579654