Simba inaweza kumshangaza Mwarabu

Simba inaweza kumshangaza Mwarabu

Kwa Mkapa Simba anashinda No doubt hasa kama mechi itapigwa saa 10 ila kama saa moja watashuhudia dance Moja matata kutoka Morroco
Ila kule Casablanca ndiko shughuli itakapokuwa nzito maana atakula 8 ili kurejesha goli zake za mkapa
Raja mbna alimvuna kolo 3 Kwa mkapa
 
Utopoloni tunaamini Simba wote ni mbumbumbu yaani kolo kamwe hawezi kuwaza nje ya box! Like hapa nadhani ungewaza zaidi

shida si kusajili Bali unasajili nani , ana kiwango Gani na je una kocha? Wa level Gani? Je ukisajili kutakuwa na muunganiko kitimu? Je mna hela? je mnalipaje? Je wachezaji Wana furaha, je wachezaji Wana morali? Je wachezaji wanaojitambua mnao?
Mambo ni mengi sio kusajili tu!

Hii level ya boli la Yanga kwa sasa sio miaka michache Makolo kuifikia!! Hebu Ona Mudathir alivyo moto mnapitaje katikati kwa mfano? Bangala, Musonda, Mayele hatari sana!!

Simba imefeli pakubwa mno kujipanga ni five years!!
Facts
 
Simba "tatu mzuka fc" sote tunajua ni kawaida yao kuishia robo fainali uwezo mdogo japo spika zake zinapiga hadi mars, hatutaki makelele!!
Bado wanaendelea kupata uzoefu
 
Na hilo ndilo kosa ambalo Simba watalifanya kutaka kumshambulia sana mwarabu tangu dakika ya kwanza ili kummaliza mapema, huku mwarabu akipiga kaunta ataki, shambulizi moja, goli moja.

Navyoona msimu huu Simba akubali alichemka katika usajili wa mabeki. Simba inacheza vizuri kuanzia kati kwenda mbele na wanaweza kuifunga tu timu yoyote, ishu inakuja, je wanaweza kulinda magoli wanayoyapata kwa dakika 90?
Beki mwenyewe ni onyango
 
Kabla ya kupost hakiki hii orodha kama timu lako lipo hapo
20230407_134057.jpg
 
Back
Top Bottom