Simba inaweza kumshangaza Mwarabu

Hiki kikosi nimekipenda . Kama itampendeza kocha akipange hivyo hivyo
Kikosi tutakachokipanga dhidi ya UTO hapo 16/4/2023 ndicho hicho hicho tutakachokipanga dhidi ya MWARABU.
Hatutaki sitiresi sisi MAKOLO.
 
Baada ya mechi Wydad atajua kwa nini Raja casablanca ilisema isingependa ikutane na Simba kwenye robo fainali! Simba 4 - 0 Wydad. Huko kwao Wydad 0 - 0 Simba!
 
Usimfundishe Simba kula swala ndiyo menu yake. Nashangaa Utopolo ndiyo wanaihofia sana Waydad kuliko Simba, au ndiyo huu ushamba na ulimbukeni wa kushiriki haya mashindano.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Baada ya mechi Wydad atajua kwa nini Raja casablanca ilisema isingependa ikutane na Simba kwenye robo fainali! Simba 4 - 0 Wydad. Huko kwao Wydad 0 - 0 Simba!
Tafuta pesa mkuu.....uote ndoto nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…