Simba inaweza kumshangaza Mwarabu

Simba inaweza kumshangaza Mwarabu

Hiki kikosi nimekipenda . Kama itampendeza kocha akipange hivyo hivyo
Kikosi tutakachokipanga dhidi ya UTO hapo 16/4/2023 ndicho hicho hicho tutakachokipanga dhidi ya MWARABU.
Hatutaki sitiresi sisi MAKOLO.
 
SIMBA KAMTOA ZAMALECK BINGWA MTETEZI NYUMBANI KWAO MISRI 2003.

1. Juma kaseja.
2. Said swedi.
3. Ramadhani waso.
4. Victor Costa.
5. Boniface pawasa.
6. Christofer Alex.
7. Yusuph Macho.
8. Suleiman MATOLA.
9. Emanuel Gabliel.
10. Otman Machupa.
11. Ulmboka mwakingwe.

Atakuwa widad????


Cha Muhimu kwa sasa Robertinho aanze kujifunza kucheza.
3: 4 : 2 : 1
Baada ya mechi Wydad atajua kwa nini Raja casablanca ilisema isingependa ikutane na Simba kwenye robo fainali! Simba 4 - 0 Wydad. Huko kwao Wydad 0 - 0 Simba!
 
Yanga hazungumzwi sana kwa kuwa timu aliyopanga nayo ni dhaifu ukilinganisha na ubora wa yanga walionao kwa sasa hivyo wanauhakika wa kutoboa" lakini Simba anazungumzwa sana kwa kuwa ana kikosi dhaifu sana ukilinganisha na timu aliyopangwa nayo ni Bora Sana na bingwa mtetezi wanauwekezaji mkubwa"

Mpira unadunda na Inaweza kua tofauti na wanavyo fikiria Watu Simba Waondoe Presha na waone kama wanacheza na Tim Ya kawaida tu Hofu ni Mbaya sana unafungwa kabla hajacheza kwa sababu ya hofu kwahiyo bac ondoeni Hofu na Mtaufurahiya mchezo Siri kubw Ni

NB: ni kichaa tu ataamini kolo atapita [emoji23][emoji23]
RIp dunduka


View attachment 2578315
Usimfundishe Simba kula swala ndiyo menu yake. Nashangaa Utopolo ndiyo wanaihofia sana Waydad kuliko Simba, au ndiyo huu ushamba na ulimbukeni wa kushiriki haya mashindano.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Baada ya mechi Wydad atajua kwa nini Raja casablanca ilisema isingependa ikutane na Simba kwenye robo fainali! Simba 4 - 0 Wydad. Huko kwao Wydad 0 - 0 Simba!
Tafuta pesa mkuu.....uote ndoto nzuri
 
Back
Top Bottom