Poa poa kiongozi.....Akikujibu nishtue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa poa kiongozi.....Akikujibu nishtue
Umefurai au umenuna mleta post??Kama umefuatilia mechi za simba karibuni utagundua timu imekuwa tia maji tia maji kama gari la mkaa siku moja barabarani wiki gereji
Timu haina kikosi aggressive chenye uchu wa mabao na muunganiko wa ushindi, timu imekuwa ikipata matokeo ya papatu papatu kulingana na siku
Simba kocha wanae mzuri shida kubwa ipo kwenye wachezaji, ina wachezaji wa kiwango cha chini mno hususan eneo la ushambuliaji likiongozwa na mchoyo na mbinafsi namba moja Saido Ntibazonkiza akisaidiwa na mzee wa makamo Clatous Chama (huyu ameisha kiwango amebaki jina tu japo kolokwinyo wengi hawataki kuamini kabisa)
Leo sitashangaa Jwaneng Galaxy wakipeleka kilio kizito mitaa ya Msimbazi, Jwaneng nao ni kama simba hivyo hii mechi ya leo ni kama mechi dhidi ya pwagu na pwaguzi lolote laweza kutokea leo
Tuwaombee kwakweli
Unateseka ukiwa wapiiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Simba katoka [emoji1787] KESHO nitakula kuku pilau
Najua huyo muhuni kwa sasa anakunyoosha balaa na huna hamu kabisaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nataka ifungwe ili tuheshimiane kuna muhuni mmoja anaongea sana
Umeandika kama LucasKama umefuatilia mechi za simba karibuni utagundua timu imekuwa tia maji tia maji kama gari la mkaa siku moja barabarani wiki gereji
Timu haina kikosi aggressive chenye uchu wa mabao na muunganiko wa ushindi, timu imekuwa ikipata matokeo ya papatu papatu kulingana na siku
Simba kocha wanae mzuri shida kubwa ipo kwenye wachezaji, ina wachezaji wa kiwango cha chini mno hususan eneo la ushambuliaji likiongozwa na mchoyo na mbinafsi namba moja Saido Ntibazonkiza akisaidiwa na mzee wa makamo Clatous Chama (huyu ameisha kiwango amebaki jina tu japo kolokwinyo wengi hawataki kuamini kabisa)
Leo sitashangaa Jwaneng Galaxy wakipeleka kilio kizito mitaa ya Msimbazi, Jwaneng nao ni kama simba hivyo hii mechi ya leo ni kama mechi dhidi ya pwagu na pwaguzi lolote laweza kutokea leo
Tuwaombee kwakweli
Umebadilika Tena ........mtoto akililia wembe mpe umkate, Robo itaamua