Simba inazidi kutumbukia shimoni, kumbe hata simba day wanalipia promo..!

Kwahiyo tunakubaliana kwamba simba wanajua wazi hawawezi kujaza uwanja na hata kuuza jezi msimu huu ndio maana wamechelewa sababu ya poor strategy zao.
 
Clouds fm kwenye kipindi cha sports extra wana toa matangazo ya team zote mbili sasa huyu sijui anaongelea promo gani.
Acha maneno matupu leta ushahidi.
 
MC wa shughuli ni Kitenge wa EFM sasa unataka walipe nini tena wewe Kibwengo
Amepewa kazi nje ya ofisi yake (efm na tv e)
Hiyo sio hoja nzito swali kwanini wanalipia ikiwa wao ni team kubwa Africa?
 
Sasa kulipia promo ni kitu cha ajabu???mkuu una tatzo binafsi na wasafi fm au???
Noooo
Nimeeleza ukweli ulipo na ni kweli simba tunahangaika kulipia promo tamasha letu liende na naona wazi linakwenda kufeli wazi wazi, hakuna mbinu nyingine?
 
Kumbe ni maoni ya wachambuzi uchwara unatuletea
Noo
Hujaelewa vizuri ni mtangazaji wa wasafi aliulizwa na msikilizaji kwanini muda wote wanafanya promo simba day tu?

Akajibiwa kuwa hiyo imelipiwa hivyo yanga wakitaka nao walipie..
Sasa team kubwa inalipia promo iweje? Wanaogopa ? Au nini?
 
Hili kamwambie yeye wasafi kupiga promo kwa Simba kawaida, hata boss wao aliwai kututungia na nyimbo, au ulikuwa hujafika mjini?
ANASHANGAA SIMBA DAY HAJUI HATA SIMBA NA YANGA, MWENYEJI WA MECHI HULIPIA PROMO KWENYE HIZO RADIO ...HALAFU MTOA MADA ANA MA CONFIDENCE YOTE KWAMBA KALIPUA BOMU MASKINI WEEE
 
Ni wachawi pekee watakuja kukubisha hapa mkuu.. Makolo ni Makolo tu siku zote
 
Noo
Hujaelewa vizuri ni mtangazaji wa wasafi aliulizwa na msikilizaji kwanini muda wote wanafanya promo simba day tu?

Akajibiwa kuwa hiyo imelipiwa hivyo yanga wakitaka nao walipie..
Sasa team kubwa inalipia promo iweje? Wanaogopa ? Au nini?
Wasafi na Simba dam dam , hadi MO aliwai kwenda hapo studio na Diamond aliwai kutunga nyimbo ya Simba , sasa hivi una staajabu kipi?
 
Hili kamwambie yeye wasafi kupiga promo kwa Simba kawaida, hata boss wao aliwai kututungia na nyimbo, au ulikuwa hujafika mjini?
Ilitakiwa umwambie wewe unayejua makubaliano ya malipo yao si umesema kitenge amelipwa apige promo?
 
KINYESI

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ni wachawi pekee watakuja kukubisha hapa mkuu.. Makolo ni Makolo tu siku zote
MAKOLO UNAAMNISHA ILE YA BAKITA MAKOLO MJOMBA AU MAKOLO YA JEZI MAKOLOKOLO? MAANA KUNA JEZI NI ZAIDI YA MAKOLOMAKOLO
Wasafi na Simba dam dam , hadi MO aliwai kwenda hapo studio na Diamond aliwai kutunga nyimbo ya Simba , sasa hivi una staajabu kipi?
oyaaa promo huwa zinalipiwa, siyo wasafi tu hata clouds na efm wamelipywa hela its been like that for years sasa washamba hawa maskini sijui huwa wanawaza nini watu wengine dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…