Simba inazidi kutumbukia shimoni, kumbe hata simba day wanalipia promo..!

Ilitakiwa umwambie wewe unayejua makubaliano ya malipo yao si umesema kitenge amelipwa apige promo?
Umeuliza swali umejibiwa tayari, hakuna cha ziada Simba na wasafi ni kawaida kutupigia promo hata MO aliwai kwenda studio yao na boss wao akatutungia nyimbo na Simba day akapiga show
 
Simba inazidi kutumbukia shimoni kabisa na viongozi wasipoliona hili basi msimu huu watagombea nafasi na kina singida big stars..!
Tusubiri msimu wa mashindano uanze
 
ANASHANGAA SIMBA DAY HAJUI HATA SIMBA NA YANGA, MWENYEJI WA MECHI HULIPIA PROMO KWENYE HIZO RADIO ...HALAFU MTOA MADA ANA MA CONFIDENCE YOTE KWAMBA KALIPUA BOMU MASKINI WEEE
Napoteza muda kulijibu bambukicha jezangu kama wewe bora niwafate simba wenzangu wenye akili. Wenzio wanajadili lakini wewe unawaza mabomu πŸ˜‚πŸ˜‚

Siku hizi mtu akianzisha uzi basi eti amelipua bomu kwako unaona hivyo basi sina la kukulaumu ujinga ni wako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Leo nilikuwa nacheck Wasafi Arena.. Yaan promo kama zote halafu viingilio vyao vyenyewe ni ushuzi😁😁
 
Bado walikuwa kijijini hawa vibwengo
 
Umeuliza swali umejibiwa tayari, hakuna cha ziada Simba na wasafi ni kawaida kutupigia promo hata MO aliwai kwenda studio yao na boss wao akatutungia nyimbo na Simba day akapiga show
Na kushangaza naye alilipia interview akiwa na manara uongo kweli?

Hizi mambo za kulipia interview zimeanzia huku simba yanga tunawaonea tu.
 
Leo nilikuwa nacheck Wasafi Arena.. Yaan promo kama zote halafu viingilio vyao vyenyewe ni ushuzi😁😁
Hahahhaha dah acha kutuumbua mkuu eti naskia na yanga wamelipia promo efm je ni lini na wapi? Kuna jamaa mwenzangu hapo njaakali amesema je kweli?
 
Uko pande gani mwamba unateseka namna hii?
 
Hahahhaha dah acha kutuumbua mkuu eti naskia na yanga wamelipia promo efm je ni lini na wapi? Kuna jamaa mwenzangu hapo njaakali amesema je kweli?
Yaaanga Ni brand kubwa Mzee hatunaga hizo shida labda Majizo mwenyewe kaamua kutubariki tu
 
ANASHANGAA SIMBA DAY HAJUI HATA SIMBA NA YANGA, MWENYEJI WA MECHI HULIPIA PROMO KWENYE HIZO RADIO ...HALAFU MTOA MADA ANA MA CONFIDENCE YOTE KWAMBA KALIPUA BOMU MASKINI WEEE
Huyu ni mshamba na limbukeni apuuzwe tu kapewa kismartphone ndiyo anajifunza kukitumia.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Yaaanga Ni brand kubwa Mzee hatunaga hizo shida labda Majizo mwenyewe kaamua kutubariki tu
Sasa mbona kaleta habari ya april 27 je week ya tamasha lenu la mwananchi ni mwezi huo?
 
Huyu ni mshamba na limbukeni apuuzwe tu kapewa kismartphone ndiyo anajifunza kukitumia.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mbona povu ndugu simba mwenzangu?
Cha ajabu wewe mjanja kila siku unapigwa ban , huoni wewe ndio mshamba hujui matumizi sahihi ya kuacha kutumia lugha za matusi na ma sicker yako yale umeacha kutumia.?πŸ˜‚πŸ˜‚

Kweli mjinga huwa hajijui
Mods tandikeni ban huyu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Na kushangaza naye alilipia interview akiwa na manara uongo kweli?

Hizi mambo za kulipia interview zimeanzia huku simba yanga tunawaonea tu.
Endelea kuota sisi tunaendelea na utaratibu wetu toka enzi , kama mwekezaji wetu aliwai kwenda studio kupiga promo sasa kulipia pesa ndio kitu gani!! Coca-Cola inajulikana dunia nzima lakini mpaka leo wana bajeti ya matangazo kwa ajili ya kulipia promo, akili zenu fupi utopolo huwezi elewa
 
Simba hakuna machoko baki huko huko

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Unakimbilia kwa mods nipigwe ban kwani mimi najali? Napigwa ban kwa kuwanyoosha michichamwiba kama wewe.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…