Simba inazidi kutumbukia shimoni, kumbe hata simba day wanalipia promo..!

Simba inazidi kutumbukia shimoni, kumbe hata simba day wanalipia promo..!

Ilitakiwa umwambie wewe unayejua makubaliano ya malipo yao si umesema kitenge amelipwa apige promo?
Umeuliza swali umejibiwa tayari, hakuna cha ziada Simba na wasafi ni kawaida kutupigia promo hata MO aliwai kwenda studio yao na boss wao akatutungia nyimbo na Simba day akapiga show
 
ANASHANGAA SIMBA DAY HAJUI HATA SIMBA NA YANGA, MWENYEJI WA MECHI HULIPIA PROMO KWENYE HIZO RADIO ...HALAFU MTOA MADA ANA MA CONFIDENCE YOTE KWAMBA KALIPUA BOMU MASKINI WEEE
Napoteza muda kulijibu bambukicha jezangu kama wewe bora niwafate simba wenzangu wenye akili. Wenzio wanajadili lakini wewe unawaza mabomu 😂😂

Siku hizi mtu akianzisha uzi basi eti amelipua bomu kwako unaona hivyo basi sina la kukulaumu ujinga ni wako 😂😂😂
 
Leo nilikuwa nacheck Wasafi Arena.. Yaan promo kama zote halafu viingilio vyao vyenyewe ni ushuzi😁😁
 
MAKOLO UNAAMNISHA ILE YA BAKITA MAKOLO MJOMBA AU MAKOLO YA JEZI MAKOLOKOLO? MAANA KUNA JEZI NI ZAIDI YA MAKOLOMAKOLO

oyaaa promo huwa zinalipiwa, siyo wasafi tu hata clouds na efm wamelipywa hela its been like that for years sasa washamba hawa maskini sijui huwa wanawaza nini watu wengine dah
Bado walikuwa kijijini hawa vibwengo
 
Umeuliza swali umejibiwa tayari, hakuna cha ziada Simba na wasafi ni kawaida kutupigia promo hata MO aliwai kwenda studio yao na boss wao akatutungia nyimbo na Simba day akapiga show
Na kushangaza naye alilipia interview akiwa na manara uongo kweli?

Hizi mambo za kulipia interview zimeanzia huku simba yanga tunawaonea tu.
 
Leo nilikuwa nacheck Wasafi Arena.. Yaan promo kama zote halafu viingilio vyao vyenyewe ni ushuzi😁😁
Hahahhaha dah acha kutuumbua mkuu eti naskia na yanga wamelipia promo efm je ni lini na wapi? Kuna jamaa mwenzangu hapo njaakali amesema je kweli?
 
Wakuu.
Naumizwa sana na klabu kubwa namba moja africa yenye mataji lukuki ya kimataifa ikiwemo CAFCL. Kuzidi kuporomoka namna hii na kukosa ushawishi kabisa kwanzia uwanjani mpaka nje ya uwanja..!

Majuzi kwenye kipindi cha michezo wasafi kuna msikilizaji aliuliza " "mbona mnapigia promo sana simba day pekee vipi kuhusu week ya mwananchi?"

Kwa hamaki ndipo yule mtangazaji akajibu "hii ni biashara wamelipia tusiharibiane biashara"

Sasa nimegundua tofauti.
Yanga wao kuelekea tamasha lao kesho hawajalipia sana promo redioni wala kwenye TV's. Bali wameenda kisasa zaidi kwa kuhamasisha mitandaoni na kwa kuwa wana mashabiki wengi zaidi basi hata wasipofanya promo tamasha litajaa na kufana sana na hii ndiyo maana ya team kubwa,

Ukiachana na hilo la kumleta kocha fundi pitso mosimane kitu ambacho simba wanajinasibu wakubwa hawawezi zaidi ya kuwaleta kina zuchu na wale st George...

Hapa imeonekana wazi team gani hasa ni kubwa na yenye mashabiki wengi licha ya simba kufanya promo kutwa kucha na kusaini mkataba na clouds kabisa lakini hawatojaza uwanja na wengi wataokuja ni wale mashabiki wa yanga kuja kuona vituko basi..

Simba inazidi kutumbukia shimoni kabisa na viongozi wasipoliona hili basi msimu huu watagombea nafasi na kina singida big stars..!

Team mpaka sasa inapiga kalenda kila siku kuhusu jezi mpya zinatoka lini? Nk Madudu na viongozi waliojaa hapo ni wafunga vikao na wafungua vikao kama alivyo yule jamaa mropokaji (mangungu)

Iokoeni simba wajameni yetu wajameni sisi mashabiki ndio tunaoumia..
Uko pande gani mwamba unateseka namna hii?
 
Hahahhaha dah acha kutuumbua mkuu eti naskia na yanga wamelipia promo efm je ni lini na wapi? Kuna jamaa mwenzangu hapo njaakali amesema je kweli?
Yaaanga Ni brand kubwa Mzee hatunaga hizo shida labda Majizo mwenyewe kaamua kutubariki tu
 
Yaaanga Ni brand kubwa Mzee hatunaga hizo shida labda Majizo mwenyewe kaamua kutubariki tu
Sasa mbona kaleta habari ya april 27 je week ya tamasha lenu la mwananchi ni mwezi huo?
 
Huyu ni mshamba na limbukeni apuuzwe tu kapewa kismartphone ndiyo anajifunza kukitumia.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mbona povu ndugu simba mwenzangu?
Cha ajabu wewe mjanja kila siku unapigwa ban , huoni wewe ndio mshamba hujui matumizi sahihi ya kuacha kutumia lugha za matusi na ma sicker yako yale umeacha kutumia.?😂😂

Kweli mjinga huwa hajijui
Mods tandikeni ban huyu 😂😂🙌🙌
 
Na kushangaza naye alilipia interview akiwa na manara uongo kweli?

Hizi mambo za kulipia interview zimeanzia huku simba yanga tunawaonea tu.
Endelea kuota sisi tunaendelea na utaratibu wetu toka enzi , kama mwekezaji wetu aliwai kwenda studio kupiga promo sasa kulipia pesa ndio kitu gani!! Coca-Cola inajulikana dunia nzima lakini mpaka leo wana bajeti ya matangazo kwa ajili ya kulipia promo, akili zenu fupi utopolo huwezi elewa
 
Mbona povu ndugu simba mwenzangu?
Cha ajabu wewe mjanja kila siku unapigwa ban , huoni wewe ndio mshamba hujui matumizi sahihi ya kuacha kutumia lugha za matusi na ma sicker yako yale umeacha kutumia.?[emoji23][emoji23]

Kweli mjinga huwa hajijui
Mods tandikeni ban huyu [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Simba hakuna machoko baki huko huko
FB_IMG_1611660294488.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mbona povu ndugu simba mwenzangu?
Cha ajabu wewe mjanja kila siku unapigwa ban , huoni wewe ndio mshamba hujui matumizi sahihi ya kuacha kutumia lugha za matusi na ma sicker yako yale umeacha kutumia.?[emoji23][emoji23]

Kweli mjinga huwa hajijui
Mods tandikeni ban huyu [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Unakimbilia kwa mods nipigwe ban kwani mimi najali? Napigwa ban kwa kuwanyoosha michichamwiba kama wewe.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom