Simba inazidi kutumbukia shimoni, kumbe hata simba day wanalipia promo..!

Wenye akili ni wawili tuu usihangaike nao hawa

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Cocacola= bidhaa soda.
Simba= team ya soka, taasisi yenye wachezaji na viongozi mbalimbali..

Cocacola inafanya matangazo wanywaji wajue bidhaa mpya wanywe.

Simba wao wanatangaza kwenye page zao kuhusu kitu fulani either simba day si simba ndio team yenye followers wengi mitandaoni ukanda huu?

Why uende kufanya promo redioni ikiwa unao mtaji wa mashabiki mitandaoni?

Kama ndio utaratibu mbona huwa hawafanyi promo ya usajili mpya redioni hapo wasafi?

Mnaniangusha simba wenzangu tuwe waelewa na tuache uzembe.
 
Mbona unawashwa sana na mambo ya Simba wewe chura?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Jamani tusisahau kabisa wenye akili ni wawili tu.
 
Noo
Hujaelewa vizuri ni mtangazaji wa wasafi aliulizwa na msikilizaji kwanini muda wote wanafanya promo simba day tu?

Akajibiwa kuwa hiyo imelipiwa hivyo yanga wakitaka nao walipie..
Sasa team kubwa inalipia promo iweje? Wanaogopa ? Au nini?
Huyo mtangazaji ni mtu wa masoko?
 
Kwa hyo mmemsajili mosimane.?
Ila utopolo
No
Ushawishi na branding kwamba wametumia mitandao yao vizuri licha ya kutokuwa na followers wengi kama sisi simba but they made it..

Simba ni kama mtu mwenye shamba kubwa lenye rutuba.

Lakini bado anaenda kukopa ale.
 
kha,,!.ee Mungu wangu wahurumie awa mashabiki wa Uto wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Sasa kwani utopoloo wamekatazwa kulipia Promo? Si wao pia walipie, kwan shida nn? Ile sio radio ya TFF, ni ya mtu binafsi ko anafanya biashara.

Vipi pesa zote Aziza kidawa kawachuna?? Poleeeeeni sana

Byuti byuti.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseee wewe jamaa ni bogus kabisa kabisa kwahiyo unafikiri kila mwana Simba anao uwezo wa kumiliki simu janja? au unafikiri huko mitandaoni tunaenda na baiskeli hopeless radio ni muhimu sana maana wahitaji wapo wengi tuu
 
Aiseee wewe jamaa ni bogus kabisa kabisa kwahiyo unafikiri kila mwana Simba anao uwezo wa kumiliki simu janja? au unafikiri huko mitandaoni tunaenda na baiskeli hopeless radio ni muhimu sana maana wahitaji wapo wengi tuu
Nadhani hata kuelewa umeshindwa
Asilimia kubwa sana wana uwezo huo kumiliki smartphone..kuliko chache wasio nazo

Still bado kuna magazeti..
Halafu wasafi inashika mikoa mingapi kwamba inawafikia watu? Hebu tutajie πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nadhani hata kuelewa umeshindwa
Asilimia kubwa sana wana uwezo huo kumiliki smartphone..kuliko chache wasio nazo

Still bado kuna magazeti..
Halafu wasafi inashika mikoa mingapi kwamba inawafikia watu? Hebu tutajie πŸ˜‚πŸ˜‚
Muhimu umeelewa kuwa sio mashabiki wa Simba wote wanaweza kumiliki smartphone hili limeisha, hivyo mashabiki waliobaki wapo watakao soma kwenye magazeti, wapo watakao sikiliza radio na wapo watakao angalia kwenye TV, hivyo basi tupo wasafi kwa ajili ya mashabiki wetu, hata mmoja akisikia habari ya Simba kwenye wasafi ujumbe umefika, siku nyingine usivamie mtumbwi wa kibwengo utaumia sana kama unavyo dharirika sasa
 
Naona nimekupa za uso unakwepa
Wasafi fm inashika mikoa mingapi?
Maana watu mikoani vijijini ndio wenye uhitaji wa redio na magazeti yenyewe unakuta hayafiki mpaka mjini mtu akienda ndo anunue..

Licha ya kulipia promo lakini ni upumbavu mkubwa sana kuchagua redio ya wasafi sababu ni hiyo inashika mikoa mingapi?

Pole mkuu kiukweli huna jibu "eti muhimu umeelewa"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kanywe maji hii ligi huiwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…