Rogers luyangi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 552
- 948
Wenye akili ni wawili tuu usihangaike nao hawaEndelea kuota sisi tunaendelea na utaratibu wetu toka enzi , kama mwekezaji wetu aliwai kwenda studio kupiga promo sasa kulipia pesa ndio kitu gani!! Coca-Cola inajulikana dunia nzima lakini mpaka leo wana bajeti ya matangazo kwa ajili ya kulipia promo, akili zenu fupi utopolo huwezi elewa
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app