Simba inazidi kutumbukia shimoni, kumbe hata simba day wanalipia promo..!

Umetoka kwenye kulipia sasa umeamia wasafi ina shika mikoa gani 😄😄😄 ukisikia kutapatapa ndio huku , wasafi ipo Dar, Pwani, Mbeya, Mwanza, Arusha, Unguja n.k ukileta pua yako nakutajia na mengine unafikiri wasafi ni radio ya mchezo mchezo, huko kote kuna mashabiki wetu na wanasikiliza radio bila tabu, swali jingine hapa utapigwa mpaka uchakae
 
Kwamba ndio unajua leo kuwa huwa promo zinalipiwa? Kumbe kuna washamba wa kutosha tu humu!
 
safari lager, kilimanjaro, cocacola ni magwiji lakini wnajitangaza mpaka leo.
 
Kwa taarifa yako yanga mna tangazo kabisa huko wasafi na kwingineko,simba ni mwanzilishi wa haya matamasha anaenda mwaka wa 14 wewe unaenda mwaka 4 huoni utofauti?msijifananishe na simba we know what were doing.
 
Tunataka tuwe wa kipekee msimu ujao hatutovaa jezi tutacheza hivi
 

Attachments

  • FQHTSizWQAIpiLL.jpeg
    86.5 KB · Views: 4
Umeshasahau simba ndo club yenye social media follow up kubwa hapa east africa na kati

Juzi tu wamefikisha followers millioni moja twitter najua huna twitter akili yako haisupport mtandao kama ule



Pale avictown wapo laki mbili tu twitter
Haya nani yupo shimoni
 
Acha kuifananisha yanga na simba,utopolo wanatumia nguvu kubwa kwa vile waliona wanapotea wala hawana cha ajabu.

Sent from my BBF100-6 using JamiiForums mobile app
 
ikiwemo CAF ulikuwa unamaana gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…