Simba inazidi kutumbukia shimoni, kumbe hata simba day wanalipia promo..!

Simba inazidi kutumbukia shimoni, kumbe hata simba day wanalipia promo..!

Naona nimekupa za uso unakwepa
Wasafi fm inashika mikoa mingapi?
Maana watu mikoani vijijini ndio wenye uhitaji wa redio na magazeti yenyewe unakuta hayafiki mpaka mjini mtu akienda ndo anunue..

Licha ya kulipia promo lakini ni upumbavu mkubwa sana kuchagua redio ya wasafi sababu ni hiyo inashika mikoa mingapi?

Pole mkuu kiukweli huna jibu "eti muhimu umeelewa"😂😂😂

Kanywe maji hii ligi huiwezi.
Umetoka kwenye kulipia sasa umeamia wasafi ina shika mikoa gani 😄😄😄 ukisikia kutapatapa ndio huku , wasafi ipo Dar, Pwani, Mbeya, Mwanza, Arusha, Unguja n.k ukileta pua yako nakutajia na mengine unafikiri wasafi ni radio ya mchezo mchezo, huko kote kuna mashabiki wetu na wanasikiliza radio bila tabu, swali jingine hapa utapigwa mpaka uchakae
 
Majuzi kwenye kipindi cha michezo wasafi kuna msikilizaji aliuliza " "mbona mnapigia promo sana simba day pekee vipi kuhusu week ya mwananchi?" Kwa hamaki ndipo yule mtangazaji akajibu "hii ni biashara wamelipia tusiharibiane biashara" Sasa nimegundua tofauti. Yanga wao kuelekea tamasha lao kesho hawajalipia sana promo redioni wala kwenye TV's.
Kwamba ndio unajua leo kuwa huwa promo zinalipiwa? Kumbe kuna washamba wa kutosha tu humu!
 
safari lager, kilimanjaro, cocacola ni magwiji lakini wnajitangaza mpaka leo.
 
Wakuu.
Naumizwa sana na klabu kubwa namba moja africa yenye mataji lukuki ya kimataifa ikiwemo CAFCL. Kuzidi kuporomoka namna hii na kukosa ushawishi kabisa kwanzia uwanjani mpaka nje ya uwanja..!

Majuzi kwenye kipindi cha michezo wasafi kuna msikilizaji aliuliza " "mbona mnapigia promo sana simba day pekee vipi kuhusu week ya mwananchi?"

Kwa hamaki ndipo yule mtangazaji akajibu "hii ni biashara wamelipia tusiharibiane biashara"

Sasa nimegundua tofauti.
Yanga wao kuelekea tamasha lao kesho hawajalipia sana promo redioni wala kwenye TV's. Bali wameenda kisasa zaidi kwa kuhamasisha mitandaoni na kwa kuwa wana mashabiki wengi zaidi basi hata wasipofanya promo tamasha litajaa na kufana sana na hii ndiyo maana ya team kubwa,

Ukiachana na hilo la kumleta kocha fundi pitso mosimane kitu ambacho simba wanajinasibu wakubwa hawawezi zaidi ya kuwaleta kina zuchu na wale st George...

Hapa imeonekana wazi team gani hasa ni kubwa na yenye mashabiki wengi licha ya simba kufanya promo kutwa kucha na kusaini mkataba na clouds kabisa lakini hawatojaza uwanja na wengi wataokuja ni wale mashabiki wa yanga kuja kuona vituko basi..

Simba inazidi kutumbukia shimoni kabisa na viongozi wasipoliona hili basi msimu huu watagombea nafasi na kina singida big stars..!

Team mpaka sasa inapiga kalenda kila siku kuhusu jezi mpya zinatoka lini? Nk Madudu na viongozi waliojaa hapo ni wafunga vikao na wafungua vikao kama alivyo yule jamaa mropokaji (mangungu)

Iokoeni simba wajameni yetu wajameni sisi mashabiki ndio tunaoumia..
Kwa taarifa yako yanga mna tangazo kabisa huko wasafi na kwingineko,simba ni mwanzilishi wa haya matamasha anaenda mwaka wa 14 wewe unaenda mwaka 4 huoni utofauti?msijifananishe na simba we know what were doing.
 
Tunataka tuwe wa kipekee msimu ujao hatutovaa jezi tutacheza hivi
 

Attachments

  • FQHTSizWQAIpiLL.jpeg
    FQHTSizWQAIpiLL.jpeg
    86.5 KB · Views: 4
Umeshasahau simba ndo club yenye social media follow up kubwa hapa east africa na kati

Juzi tu wamefikisha followers millioni moja twitter najua huna twitter akili yako haisupport mtandao kama ule



Pale avictown wapo laki mbili tu twitter
Haya nani yupo shimoni
 
ikiwemo CAF ulikuwa unamaana gani?
 
Back
Top Bottom