iyokichiku
Member
- Oct 30, 2023
- 36
- 70
Jitahidini kuficha chuki hata kama mmechukizwa Wakuu. Arsenal walifungwa 8 lkn Mechi ioiyofuata walikwenda uwanjani.Tunapoelekea katika mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Asec mimosa tunaona nguvu nyingi inavyotumika kuhamasisha mashabiki huku mashabiki wakiwa hawana morali kabisa ya kwenda uwanjani.
Goli 5-1 siyo mchezo. ni uzembe wa Hali ya juu uliofanywa na wachezaji pamoja na viongozi.
Kwavile mliyataka hayo basi mkashangilie wenyewe.
Hata wewe una moyo wa kwenda? Binafsi tukifanya vizuri huwa naenda, siwezi kwenda kwa mechi ambayo ni 50/50 heri nife presha nikiwa sebuleni kwanguWw ni mgeni wa mashindano ya Simba? Mbona ni kawaida kuhamasisha watu kuja uwanjani? Au umeona ni wiki hii tuu...by the way hata msipoenda kama ni kushinda tutashinda tuu...
Zamu hii hawatangazi sold out, mashabiki hatutaki uzembe kama ule wa mechi iliyopita, kuna mechi ukiangalia hata mkifungwa mnaona wachezaji wenu wamepambana ,siyo hii ya uzembe wamefungwa kama wamesimama,Simba wakufungwa goli 5 na Yanga kweliTunapoelekea katika mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Asec mimosa tunaona nguvu nyingi inavyotumika kuhamasisha mashabiki huku mashabiki wakiwa hawana morali kabisa ya kwenda uwanjani.
Goli 5-1 siyo mchezo. ni uzembe wa Hali ya juu uliofanywa na wachezaji pamoja na viongozi.
Kwavile mliyataka hayo basi mkashangilie wenyewe.
Mpaka mthemeeeZamu hii hawatangazi sold out, mashabiki hatutaki uzembe kama ule wa mechi iliyopita, kuna mechi ukiangalia hata mkifungwa mnaona wachezaji wenu wamepambana ,siyo hii ya uzembe wamefungwa kama wamesimama,Simba wakufungwa goli 5 na Yanga kweli
Msijisahaulishe tu
Wewe uwanjani kwenyewe sijawaho hata kukuona umewahi kwenda lini? π€ͺWw ni mgeni wa mashindano ya Simba? Mbona ni kawaida kuhamasisha watu kuja uwanjani? Au umeona ni wiki hii tuu...by the way hata msipoenda kama ni kushinda tutashinda tuu...
Matako ya Samaki π€ͺZamu hii hawatangazi sold out, mashabiki hatutaki uzembe kama ule wa mechi iliyopita, kuna mechi ukiangalia hata mkifungwa mnaona wachezaji wenu wamepambana ,siyo hii ya uzembe wamefungwa kama wamesimama,Simba wakufungwa goli 5 na Yanga kweli
Mi nipo uwanja wa JEIEFU... π πWewe uwanjani kwenyewe sijawaho hata kukuona umewahi kwenda lini?
Unaogopa ukienda km siku ile mmepigwa Tano usingeweza kunyanyuka kwenye siti ππ€ͺMi nipo uwanja wa JEIEFU... π π
Ww mlivyofungwa 5 kwa 0 hukuweza kuamka ulipokaa? Tuanzie hapo kwamzaUnaogopa ukienda km siku ile mmepigwa Tano usingeweza kunyanyuka kwenye siti ππ€ͺ
Mashabiki wanatakiwa kuonyesha reaction kuonyesha hawataki kuburuzwa hata upigaji utapungua viongozi wataogopa na wachezaji wataleta umakini, hawa wachezaji wamesifiwa sana kiasi kwamba wameota mapembe wanacheza kibishoo
Goli Tano hadi mnachechemea kuanzia Jf hadi kwa Nkapa hatoki ntu, π€ͺWw mlivyofungwa 5 kwa 0 hukuweza kuamka ulipokaa? Tuanzie hapo kwamza
Mkuu tunataka timu bora, timu ilikuwa mbovu ila ushindi kwa mechi zilizopita ulificha machungu, kila mechi hamna mpira nzuri ila tunashinda, mechi nzuri ilikuwa ile ya Al Ahly. Timu inashinda lakini hamna furaha
Utakua ulipigwa bomba haswaaa...kama ulishindwa kutembea...ndo maana hii imekua sherehe kwenu kumbe mliumia sana hiyo siku...5...0Goli Tano hadi mnachechemea kuanzia Jf hadi kwa Nkapa hatoki ntu, π€ͺ
Unapigwa bomba Tano mfululizo hunyanyuki kwenye siti, kwanza ukitaka kutembea miguu inakukataa π
Labda kushinda njaaWw ni mgeni wa mashindano ya Simba? Mbona ni kawaida kuhamasisha watu kuja uwanjani? Au umeona ni wiki hii tuu...by the way hata msipoenda kama ni kushinda tutashinda tuu...