Simba ingecheza vizuri dhidi Yanga tusingetumia nguvu nyingi kwenda uwanjani

iyokichiku

Member
Joined
Oct 30, 2023
Posts
36
Reaction score
70
Tunapoelekea katika mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Asec mimosa tunaona nguvu nyingi inavyotumika kuhamasisha mashabiki huku mashabiki wakiwa hawana morali kabisa ya kwenda uwanjani.
Goli 5-1 siyo mchezo. ni uzembe wa Hali ya juu uliofanywa na wachezaji pamoja na viongozi.
Kwavile mliyataka hayo basi mkashangilie wenyewe.
 
Jitahidini kuficha chuki hata kama mmechukizwa Wakuu. Arsenal walifungwa 8 lkn Mechi ioiyofuata walikwenda uwanjani.
 
Ww ni mgeni wa mashindano ya Simba? Mbona ni kawaida kuhamasisha watu kuja uwanjani? Au umeona ni wiki hii tuu...by the way hata msipoenda kama ni kushinda tutashinda tuu...
 
Hata wewe una moyo wa kwenda? Binafsi tukifanya vizuri huwa naenda, siwezi kwenda kwa mechi ambayo ni 50/50 heri nife presha nikiwa sebuleni kwangu
 
Tunapoelekea katika mchezo wa klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Asec mimosa tunaona nguvu nyingi inavyotumika kuhamasisha mashabiki huku mashabiki wakiwa hawana morali kabisa ya kwenda uwanjani.
Goli 5-1 siyo mchezo. ni uzembe wa Hali ya juu uliofanywa na wachezaji pamoja na viongozi.
Kwavile mliyataka hayo basi mkashangilie wenyewe.
Zamu hii hawatangazi sold out, mashabiki hatutaki uzembe kama ule wa mechi iliyopita, kuna mechi ukiangalia hata mkifungwa mnaona wachezaji wenu wamepambana ,siyo hii ya uzembe wamefungwa kama wamesimama,Simba wakufungwa goli 5 na Yanga kweli
 
Mpaka mthemeee

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Zamu hii hawatangazi sold out, mashabiki hatutaki uzembe kama ule wa mechi iliyopita, kuna mechi ukiangalia hata mkifungwa mnaona wachezaji wenu wamepambana ,siyo hii ya uzembe wamefungwa kama wamesimama,Simba wakufungwa goli 5 na Yanga kweli
Matako ya Samaki 🤪

Tano
 
Mashabiki wanatakiwa kuonyesha reaction kuonyesha hawataki kuburuzwa hata upigaji utapungua viongozi wataogopa na wachezaji wataleta umakini, hawa wachezaji wamesifiwa sana kiasi kwamba wameota mapembe wanacheza kibishoo
 
Screenshot_20231121-063808.png
 
Ww mlivyofungwa 5 kwa 0 hukuweza kuamka ulipokaa? Tuanzie hapo kwamza
Goli Tano hadi mnachechemea kuanzia Jf hadi kwa Nkapa hatoki ntu, 🤪

Unapigwa bomba Tano mfululizo hunyanyuki kwenye siti, kwanza ukitaka kutembea miguu inakukataa 😆
 
Utakua ulipigwa bomba haswaaa...kama ulishindwa kutembea...ndo maana hii imekua sherehe kwenu kumbe mliumia sana hiyo siku...5...0
 
Ww ni mgeni wa mashindano ya Simba? Mbona ni kawaida kuhamasisha watu kuja uwanjani? Au umeona ni wiki hii tuu...by the way hata msipoenda kama ni kushinda tutashinda tuu...
Labda kushinda njaa
 
Naunga mkono hoja...japo Mimi ni kolo kindaki ndaki....ila hii mechi wamenikosa ....ntaenda beach na redio nisikilize mechi [emoji23] na
 
Back
Top Bottom