Simba ingecheza vizuri dhidi Yanga tusingetumia nguvu nyingi kwenda uwanjani

Inaitwa HAMSA. Lakini tukupumbuke pia kuwa yaliopita si ndwele.

Ahmed Ali alipoonywa na Jane Kishai wa Mpenja TV kuwa Yanga imepanga kuwashusia kipigo cha 5G alicheka kwa dharau sana. Video yake sijui iko wapi lakini iliwahi kuwekwa hapa JF
Simba isingepigwa 5 na Yanga ingekuwa vile vile ,kupigwa na Yanga imeweka wazi kwamba ilikuwa mbovu na kushusha kiburi
 
Jitahidini kuficha chuki hata kama mmechukizwa Wakuu. Arsenal walifungwa 8 lkn Mechi ioiyofuata walikwenda uwanjani.
Mkuu, hiyo ya Arsenal kufungwa 8 ni miaka mingi sana imepita. Si ungetoa mfano wa juzi juzi tu hapo, kama vile MANCHESTER UNITED alikandwa SABA na LIVERPOOL, na mechi inayofata walijaza uwanja
 
Mapandikizi tena?
Kwani si ni viongiozi hawa hawa walioifunga Uto 2-0 mwishoni mwa msimu uliopita mbona hatukusema kama ni mapandikizi?
Tuache kutafuta mbuzi wa kafara, tukubali tu kua Gamondi alituzidi mbinu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…