Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Simba isingepigwa 5 na Yanga ingekuwa vile vile ,kupigwa na Yanga imeweka wazi kwamba ilikuwa mbovu na kushusha kiburiInaitwa HAMSA. Lakini tukupumbuke pia kuwa yaliopita si ndwele.
Ahmed Ali alipoonywa na Jane Kishai wa Mpenja TV kuwa Yanga imepanga kuwashusia kipigo cha 5G alicheka kwa dharau sana. Video yake sijui iko wapi lakini iliwahi kuwekwa hapa JF