Simba iombe Yanga isiingie makundi, ikiingia itavunja rekodi zote za nyuma

Simba iombe Yanga isiingie makundi, ikiingia itavunja rekodi zote za nyuma

Aahaaaaa,matokeo yanasema kafungwa Al Ahyl,hayo mengine hayatuhusu
Jana Al Ahyl kafa peupe,na aliyemfunga ndo yule aliyepelekewa moto akiwa kwao na pira Nabi,kama haitoshi akafa moja bila

Rekodi za Simba zipo salama as long as Yanga hajacheza gemu zake mbili dhidi ya El Merreikh

Endeleeni kuomba tusiingie makundi
Matokeo ya hiyo mechi wengi hawakuyatarajia kabisa.
 
Al Ahly anawaza game dhidi ya Simba kapumzisha timu.
Ila wewe nawe unaonesha jinsi gani ulivyokuwa haufatilii mpira. Mechi ya Simba bado mwezi mzima mbele ndio apumzishe wachezaji leo kwasjili ya mechi ya mwezi ujao? Ulidanganywa kuwa Al Ahly hatocheza mchezo wowote ule iwe klabu bingwa au ligi kuu mpaka atakapocheza na Simba? Umewaza ovyo sana aisee
 
Back
Top Bottom