Simba iombe Yanga isiingie makundi, ikiingia itavunja rekodi zote za nyuma

Kilimbatzz

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2023
Posts
9,134
Reaction score
14,593
Jana Al Ahyl kafa peupe na aliyemfunga ndo yule aliyepelekewa moto akiwa kwao na pira Nabi, kama haitoshi akafa moja bila.

Rekodi za Simba zipo salama as long as Yanga hajacheza gemu zake mbili dhidi ya El Merreikh.

Endeleeni kuomba tusiingie makundi.
 
Aahaaaaa,matokeo yanasema kafungwa Al Ahyl,hayo mengine hayatuhusu
Jana Al Ahyl kafa peupe,na aliyemfunga ndo yule aliyepelekewa moto akiwa kwao na pira Nabi,kama haitoshi akafa moja bila

Rekodi za Simba zipo salama as long as Yanga hajacheza gemu zake mbili dhidi ya El Merreikh

Endeleeni kuomba tusiingie makundi
Matokeo ya hiyo mechi wengi hawakuyatarajia kabisa.
 
Al Ahly anawaza game dhidi ya Simba kapumzisha timu.
Ila wewe nawe unaonesha jinsi gani ulivyokuwa haufatilii mpira. Mechi ya Simba bado mwezi mzima mbele ndio apumzishe wachezaji leo kwasjili ya mechi ya mwezi ujao? Ulidanganywa kuwa Al Ahly hatocheza mchezo wowote ule iwe klabu bingwa au ligi kuu mpaka atakapocheza na Simba? Umewaza ovyo sana aisee
 
Japo sipendi Simba,ila kimpira zaidi na maendeleo ya mpira wetu kiujumla naombea wote tuingie makundi

Home games za timu zote mbili zitatoa picha ya nani ni mkubwa kati yetu kimataifa
Hata mimi naomba wote tuingie makundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…