Simba iombeni radhi Ngome FC

Simba iombeni radhi Ngome FC

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
π™π™Šπ™†π™€π™‰π™„ π™ƒπ˜Όπ˜Ώπ™ƒπ˜Όπ™π˜Όπ™‰π™„ π™ˆπ˜Όπ™†π™Šπ™‡π™Š

Neno samahani ni dogo sana haswa kwa yule alieyefanya makosa,,Makolo msione aibu tokeni hadharani waombeni msahama tu Ngome kwasababu kudarisha logo haitoi uhalisia Kama mmekosea kutoa taarifa yenu kwa madunduka wenu.
Ombeni msamaha [emoji1666].
Cc: castor Yanga

NB: how data forging (cooking) in football can be a panacea to help kolo in super league//

Kwa mliokimbia umande

Je kujifungia vyumbani na kupika data za kuifunga timu kibonde badala ya kupiga zoezi,....inawezaje saidia makolo ku pass super league [emoji23][emoji23]?

1694268461030.jpg
 
Kati ya Ngome na Horoya nani ambaye ni mkubwa?

Horoya amepigwa 7 na ametulia na hakuna mtu ambaye ana wasiwasi na kipigo hicho.

Leo timu kutoka Temeke ipigwe 6 afu ikanushe, nani ataiamini?
Hii inshu naona kama hujaielewa ilivokaa... Simba wameweka Logo ya Ngome Fc ya huko Zanzibar wakati wao wamecheza na Ngome ya huko Dasalamu... Wazenji wamemaind...
 
Kati ya Ngome na Horoya nani ambaye ni mkubwa?

Horoya amepigwa 7 na ametulia na hakuna mtu ambaye ana wasiwasi na kipigo hicho.

Leo timu kutoka Temeke ipigwe 6 afu ikanushe, nani ataiamini?
Jibu hoja za Ngome fc
 
Kati ya Ngome na Horoya nani ambaye ni mkubwa?

Horoya amepigwa 7 na ametulia na hakuna mtu ambaye ana wasiwasi na kipigo hicho.

Leo timu kutoka Temeke ipigwe 6 afu ikanushe, nani ataiamini?
Ila hii ni aibu mkuu[emoji23][emoji23]
 
Hii inshu naona kama hujaielewa ilivokaa... Simba wameweka Logo ya Ngome Fc ya huko Zanzibar wakati wao wamecheza na Ngome ya huko Dasalamu... Wazenji wamemaind...
Hujaelewa kumbe.....mwanzoni Simba waliweka logo ya timu ya zenji.....Baada ya kuona kimeumana wame edit chaap
 
Simba sasa mnakoenda ni kubaya kulazimisha kuzifunga timu goli nyingi hata hamjacheza nao.
FB_IMG_16942801757015088.jpg
FB_IMG_16942801911985502.jpg
 
Back
Top Bottom