Simba iombeni radhi Ngome FC

Simba iombeni radhi Ngome FC

Hawa ndio waliocheza nao
FB_IMG_16942807409164268.jpg
 
Shabiki wa simba na wapenda soka leo kumeibuka utata mkubwa juu ya simba na ngome fc,

Simba sc ikidai imemfunga ngome fc mabao 6 kwa 0
1694284248843.png


na ngome fc kuja kukanusha

1694284294845.png



na simba sc kubadilisha post

1694284331366.png

je nini kilitokea,. Ushahidi katika picha.

Je simba sc inashida mahali au mahali anashida na pale simba SC?
 

Attachments

  • IMG-20230909-WA0030.jpg
    IMG-20230909-WA0030.jpg
    55.2 KB · Views: 1
  • IMG-20230909-WA0031.jpg
    IMG-20230909-WA0031.jpg
    40.3 KB · Views: 2
  • IMG-20230909-WA0029.jpg
    IMG-20230909-WA0029.jpg
    55 KB · Views: 1
Hii inshu naona kama hujaielewa ilivokaa... Simba wameweka Logo ya Ngome Fc ya huko Zanzibar wakati wao wamecheza na Ngome ya huko Dasalamu... Wazenji wamemaind...
Kitengo cha habari mitandaoni kinadhalilisha timu ionekane kuna forgery. Hata mwaka Jana kama sijasahau wakiwa pre season waliweka nembo ya timu tofauti na waliyocheza nayo.
 
Back
Top Bottom