Simba ipo chini mwaka huu

Simba ipo chini mwaka huu

mjogoro

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
882
Reaction score
652
Tuambizane ukweli, tuache ujuaji usio na msingi. Ktk kipindi cha miaka minne, Simba haijawahi kuzidiwa pointi 12 huku ikiwa imwcheza idadi ya mechi sawa na Yanga.

Aidha, timu hii mwaka huu imetolewa ma timu dhaifu sana Champions league. Nadhani kama tumepevuka kiakili basi ifike mahali tukubali kuwa Simba ipo chini mwaka huu ktk ubora.
 
Mwaka huu hamna viporo.

Kamati ya yanga ni balaa hiyo acha tu..

Yanga wapo vizuri financially sio yanga ile ya bakuli ko chochote wanafanya.

Yanga sasahivi wana team sio tena squad just imagine anatoka Aucho afu anaingia Sure boy.

NBC kila position ina mkwanja, kwahyo timu za chini zinapambana kadri ziwezavyo.

Finally,Yanga bingwa.
 
Timu ndogo ndogo nazo sasa hivi zinapambana sana kuongeza ushindani, sio timu za kudharau na kuingia na matokeo mkononi
 
Tuambizane ukweli, tuache ujuaji usio na msingi. Ktk kipindi cha miaka minne, Simba haijawahi kuzidiwa pointi 12 huku ikiwa imwcheza idadi ya mechi sawa na Yanga.

Aidha, timu hii mwaka huu imetolewa ma timu dhaifu sana Champions league. Nadhani kama tumepevuka kiakili basi ifike mahali tukubali kuwa Simba ipo chini mwaka huu ktk ubora.
Kinacho waponza ni overconfidence na kujiona nyie ni wakubwa sana
 
Huwezi amini watakuja makolo wenzio watakuponda katika huu uzi, we subiri nakwambia
 
Hakika
Mwaka huu hamna viporo.

Kamati ya yanga ni balaa hiyo acha tu..

Yanga wapo vizuri financially sio yanga ile ya bakuli ko chochote wanafanya.

Yanga sasahivi wana team sio tena squad just imagine anatoka Aucho afu anaingia Sure boy.

NBC kila position ina mkwanja, kwahyo timu za chini zinapambana kadri ziwezavyo.

Finally,Yanga bingwa.
 
Kocha wenu ni mbovu.

Wachezaji wenu wengi wametumika sana

Simba haina Tena mfungaji wa magori! Mechi 4 hakuna mfungaji aliyefunga!!. Timu ya Simba imefika mwisho wake wa mafanikio hivyo kikubwa ni reform ya timu ifanyike. Wachezaji wengi Simba wamezoea na hawana hamasa kama ilivyokuwa misimu 4 nyuma.

Yanga ilichukua mara 3 mfululizo baada ya Hapo wakapoteana, wamejenga upya timu kwa miaka 3+ ndio wamepata walau timu yenye ushindani saizi. Kuangalia kikosi Cha yanga asilimia 99 ni wachezaji wapya ambao Wana spirit na nguvu mpya na wanataka kujitangaza, TOFAUTI na Simba ambao asilimia 90 ya wachezaji hawana jipya na wamefikia mwisho waafanikio yao. Angalia maingizo mapya ya Simba INONGA, Sakho, kanoute na Banda fighting spirit Yao ipo juu kuliko wengine wote.

Watani zetu wakubali kufanya reform ya timu na ndio njia pekee ya kupata matokeo chanya misimu ijayo. Mifano ni Barcelona, man u, Ac Milan n.k wapo wanajitafuta kujenga timu upya.
 
Mwaka huu hamna viporo.

Kamati ya yanga ni balaa hiyo acha tu..

Yanga wapo vizuri financially sio yanga ile ya bakuli ko chochote wanafanya.

Yanga sasahivi wana team sio tena squad just imagine anatoka Aucho afu anaingia Sure boy.

NBC kila position ina mkwanja, kwahyo timu za chini zinapambana kadri ziwezavyo.

Finally,Yanga bingwa.
Best comment so far
 
Matches played by both Simba and Yanga are 21.
Yanga points: 55
Simba points: 43

With 9 games to go, the Difference is12 points. This is like saying out of the 9 games: -
1. While Simba wins 5 games, Yanga either has to loose 2 games and draw atleast 3 games (Yanga 58, Simba 58)
2. While Simba wins 5 games, Yanga either has to loose 3 games and draw atleast 2 games (Yanga 57, Simba 58)
3. While Simba wins 4 gamea, Yanga has to loose 4 games as well (Yanga 58, Simba 58)

For Simba to be ontop of/level with Yanga, either 3 of the following has to happen.

Meanwhile, out of the 9 games Yanga needs only 5 wins and 1 draw to win the NBCPL 2022 (Yanga 55 + (15 + 1) = 71 points) cause even if Simba wins the rest of the 9 games (equal to 27 points) the points will be 70 points (43 + 27)

Anyway, YANGA BINGWA
 
Back
Top Bottom