Tuambizane ukweli, tuache ujuaji usio na msingi. Ktk kipindi cha miaka minne, Simba haijawahi kuzidiwa pointi 12 huku ikiwa imwcheza idadi ya mechi sawa na Yanga.
Aidha, timu hii mwaka huu imetolewa ma timu dhaifu sana Champions league. Nadhani kama tumepevuka kiakili basi ifike mahali tukubali kuwa Simba ipo chini mwaka huu ktk ubora.