Simba ipo hoi japo imeshinda!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,926
Reaction score
95,626
Simba ipo hoi, ni baada ya kushiba mno baada ya kumla fulani!![emoji1][emoji1][emoji1]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mi kila siku huwa nasema hawa mpira hawezi
mtu anaenda kucheza mpira dakika ya 4 wanapata penati wanafunga goli
Wanaenda kipindi cha pili Bukungu apigwa kadi watu wacheza 10 badaya 11
Bado wao washindwa sasa hawa yanga wataka nini.
 
Jumamosi simba sc walilitendea haki jina la mnyama simba,10 vs 11 when u are 1 nil down na bado unapata matokeo ktk game kubwa km ile inaonyesha jinsi gani mnyama ananjaa na ubingwa
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Simba asipochukua ubingwa nitatembea uchi mchana kweupe kutoka Nyumbani kwa Makondo mpaka kanisani kwa Gwajima.
 
Uweke kumbukumbu lkn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…