SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Simba ndiyo timu pekee ya ligi kuu Tanzania ambayo makao yake makuu yapo eneo ambalo jina la eneo limebebwa na jina la klabu hiyo, tena zaidi ni eneo hot kibiashara na kiuchumi.
Najiuliza hawa wengine wako wapiii? Ninavyojua mimi, Jangwani ni maarufu zaidi kwa ile shule maarufu ya wanawake aliyowahi kusoma dada yangu. Au hii Yanga ni timu ya shule ya sekondari Jangwani halafu hatuambiwi?
Ngoja mchakato wa umiliki ukae sawa, tutaangusha PLAZA moja matata sana pale Kariakoo tukiweka sanamu ya mnyama pale nje.