Comments reservedSimba ndiyo timu pekee ya ligi kuu Tanzania ambayo makao yake makuu yapo eneo ambalo jina la eneo limebebwa na jina la klabu hiyo, tena zaidi ni eneo hot kibiashara na kiuchumi.
Najiuliza hawa wengine wako wapiii? Ninavyojua mimi, Jangwani ni maarufu zaidi kwa ile shule maarufu ya wanawake aliyowahi kusoma dada yangu.
Ngoja mchakato wa umiliki ukae sawa, tutaangusha PLAZA moja matata sana pale Kariakoo tukiweka sanamu ya mnyama pale nje.
Yaani hajui kama yanga sc iko jangwani?, Mjibu basi, unataka nifikiri mnavyotaka nyie? Someni kuhusu, social inferenceToa neno mzee wa "comments reserved"
Tumekuelewa tunatumia, social inference yaani kufikiri zaidi ya unavyo fikiria, yaani anaye tatua tatizo inatakiwa awe na akili kuliko aliyetengeneza tatizoMmeielewa mada lakini?
Nionyeshe hata chocho lolote nchi hii achilia mbali mtaa ambao umepewa jina la Utopolo? Kimbiji kwenyewe mnakaa mji wa Avic ambaye usishangae kukuta naye ni mnyamaTumekuelewa tunatumia, social inference yaani kufikiri zaidi ya unavyo fikiria
No comment wacha tuoneSimba ndiyo timu pekee ya ligi kuu Tanzania ambayo makao yake makuu yapo eneo ambalo jina la eneo limebebwa na jina la klabu hiyo, tena zaidi ni eneo hot kibiashara na kiuchumi.
Najiuliza hawa wengine wako wapiii? Ninavyojua mimi, Jangwani ni maarufu zaidi kwa ile shule maarufu ya wanawake aliyowahi kusoma dada yangu. Au hii Yanga ni timu ya shule ya sekondari Jangwani halafu hatuambiwi?
Ngoja mchakato wa umiliki ukae sawa, tutaangusha PLAZA moja matata sana pale Kariakoo tukiweka sanamu ya mnyama pale nje.
Uzi tayari?Simba ndiyo timu pekee ya ligi kuu Tanzania ambayo makao yake makuu yapo eneo ambalo jina la eneo limebebwa na jina la klabu hiyo, tena zaidi ni eneo hot kibiashara na kiuchumi.