mwarabu feki
JF-Expert Member
- Feb 16, 2023
- 811
- 1,811
Moja kati ya sifa kuu ya kocha mzuri basi Lazima ajue kupanga kikosi kinachoanza mechi. Sasa huyu mbwiga hajui hata selection ya fist eleven yake.
Kocha Hana mbinu, hawezi kusoma mchezo kadri unavyoendelea, hawezi hata kufanya sub zinazoweza kuamua mechi[emoji848][emoji848]
Kitu pekee anachoweza ni kushangilia magoli ya kubahatisha na kufurahia pira papatu papatu tunalocheza.
Wanasimba wenzangu tuushinikize uongozi umtumie huyu Mzee kabla maji hayajafika shingoni.
[emoji75] Nguvu moja[emoji123]