Mimi anachoniboa ni mwoga sana .
Why asiwaamin cku Moja Moja akina duchu ,mwenda ,na wengine Ili kuweka ushindan kwenye kikosi?
Yanga siwapend ila Wana mikakat mizur sana Kila mchezaj anapewa nafas Tena kwenye game za maana ,hii inalpelekea wachezaj kujituma kuhofia kupoteza namba ,ndio maana yanga Wana kikosi imara sana Kila mchezaj akipewa nafas anapambana sana.
Simba ndio timu inayoongoza kuua vipaj vya wachezaj wazawa .
Angalia Gadiel Saiz anavyokiwasha huko singida.
Ajab Kila game kapombe ,Hussein ,Kila game inonga wakat yupo Kaz Kila game Ntibanzokinza ujinga mtupu ,rotation ndio inaleta timu Bora though kunakua na first eleven ya timu ila sasa isiwe kama Tako na chup sometimes lazima kocha ajilipue hata Kwa dakika chache awape nafas wengine akiona jahaz linazama awaingize anaowaamin