Simba isipoachana na Robertinho basi ijiandae kuishia makundi tu klabu bingwa Afrika

Simba isipoachana na Robertinho basi ijiandae kuishia makundi tu klabu bingwa Afrika

Mtamulaumu kocha badala ya wachezaji.Wachezaji WA Simba wengi wanacheza kimwinyi ilimradi mshahala unaingia Tu Ila Kwa kocha pale amemaliza kazi yake.Kingine Viongozi wenu hawana misimamo unaona kabisa huyu mchezaji anavyocheza kama kalazimishwa hawamwambii ukweli mbona Yanga pale kila mchezaji anajituma
 
Huo upuuzi peleka kwa utopolokwinyo wenzio wasiojua mpira
 
Nyinyi vilaza ndio mnasababisha makocha wazuri wafukuzwe mapema bila sababu za msingi. Yanga wasingemvumilia Nabi kipindi kile anapigwa nje ndani na akina Rivers utd pengine isingekuwa imefika fainal shirikisho.
 
Mimi simba damu,ila Yanga inafanya kila klabu ionekane dhaifu
 
MTALIA KILA KILIO ILA TATIZO KUBWA LA SIMBA LILIANZIA HAPA .............

 
Kama viongozi wa Simba wataingia kwenye mtego wa mashabiki uchwara na kufukuza kocha huyu basi nitawadharau sana. Utakuta mtu hata kupiga danadana hajui lakini anamshambulia kocha. Ilianza kwenye sakata la Phiri wamemlaumu kocha kwa nini hampangi hadi zikaja porojo za kuwa ana ugomvi na Try Again lakini baada ya Phiri kuanza kuchezeshwa wote tumeona kuwa majeraha aliyopata yameathiri sana kiwango chake. Hakuna kocha anayeweza kuacha kumpanga mchezaji mwenye uwezo wa kumpa matokeo mazuri uwanjani kwa shinikizo la kiongozi ilhali timu ikifanya vibaya ndiye mbeba lawama,kocha wa namna hiyo hayupo popote duniani.
 
Mimi anachoniboa ni mwoga sana .
Why asiwaamin cku Moja Moja akina duchu ,mwenda ,na wengine Ili kuweka ushindan kwenye kikosi?
Yanga siwapend ila Wana mikakat mizur sana Kila mchezaj anapewa nafas Tena kwenye game za maana ,hii inalpelekea wachezaj kujituma kuhofia kupoteza namba ,ndio maana yanga Wana kikosi imara sana Kila mchezaj akipewa nafas anapambana sana.

Simba ndio timu inayoongoza kuua vipaj vya wachezaj wazawa .
Angalia Gadiel Saiz anavyokiwasha huko singida.
Ajab Kila game kapombe ,Hussein ,Kila game inonga wakat yupo Kaz Kila game Ntibanzokinza ujinga mtupu ,rotation ndio inaleta timu Bora though kunakua na first eleven ya timu ila sasa isiwe kama Tako na chup sometimes lazima kocha ajilipue hata Kwa dakika chache awape nafas wengine akiona jahaz linazama awaingize anaowaamin
 
Simba ingekuwa na KIKOSI hiki ingechukua UBINGWA.


1. Aishi Manura.
(John Noble)

2. SHOMARI kapombe.
3. Mohamed Hussein.
4.
5. Henock Inonga.
6. (YANIC BANGALA.)
7.
8. Fabrice NGOMA.
9. Jean Baleke.
(Pape Andoi Ndiaye)
10. CLOTUS chama
11. Said Ntiba/ KIBU.
Nakukubali mzee, post Zako 10
9 unapatia lkn moja unateleza.
Somehow una ujuzi wa football
 
Last season simba lifanya rotation dhidi ya namungo, ilikuw vichekesho.
Rotation inafaa match hii kwenye ile 11 kapombe anakaa benchi, inayofuata malone benchi, inayofuata saido hachezi kabsa....inayofuata chama hachezi au anaingia mwishoni.
Ofcoz kocha anazngua
 
Moja kati ya sifa kuu ya kocha mzuri basi Lazima ajue kupanga kikosi kinachoanza mechi. Sasa huyu mbwiga hajui hata selection ya fist eleven yake.

Kocha Hana mbinu, hawezi kusoma mchezo kadri unavyoendelea, hawezi hata kufanya sub zinazoweza kuamua mechi[emoji848][emoji848]

Kitu pekee anachoweza ni kushangilia magoli ya kubahatisha na kufurahia pira papatu papatu tunalocheza.

Wanasimba wenzangu tuushinikize uongozi umtumie huyu Mzee kabla maji hayajafika shingoni.

[emoji75] Nguvu moja[emoji123]

Tatizo ni Kulogana kwa wachezaji na Uongozi unajua sema unafaidika,
ndio maana wachezaji wazuri wakifika pale hawachezi!
wenzetu yanga hakuna kulogana kwa wachezaji na kuna wazee wanaangalia hilo!
ukionekana tuu una mambo ya Kulogana wanakutimua
 
Back
Top Bottom