Simba isipoachana na Robertinho basi ijiandae kuishia makundi tu klabu bingwa Afrika

mwarabu feki

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
811
Reaction score
1,811
Moja kati ya sifa kuu ya kocha mzuri basi Lazima ajue kupanga kikosi kinachoanza mechi. Sasa huyu mbwiga hajui hata selection ya fist eleven yake.

Kocha Hana mbinu, hawezi kusoma mchezo kadri unavyoendelea, hawezi hata kufanya sub zinazoweza kuamua mechi[emoji848][emoji848]

Kitu pekee anachoweza ni kushangilia magoli ya kubahatisha na kufurahia pira papatu papatu tunalocheza.

Wanasimba wenzangu tuushinikize uongozi umtumie huyu Mzee kabla maji hayajafika shingoni.

[emoji75] Nguvu moja[emoji123]
 
Hata mumfukuze na kumleta Pep Guardiola! Bado safari yenu msimu huu itaishia hatua ya makundi. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Hakuna timu ya kuvuka hatua ya makundi pale na kwenda robo fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…