Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Mar 30, 2024 #41 Huyu ni miongoni mwa mashabiki wa ovyo JF.
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Mar 30, 2024 #42 Hizi ahadi mnazo ziweka hamtimizi, kuna mpuuzi Tundaman kamuhaidi Priva 1m kama Yanga akipata droo kwa Mamelod. Ila mtajifunza safari hii,kukomalia mechi zisizo wahusu mkahisahau mechi yenu.
Hizi ahadi mnazo ziweka hamtimizi, kuna mpuuzi Tundaman kamuhaidi Priva 1m kama Yanga akipata droo kwa Mamelod. Ila mtajifunza safari hii,kukomalia mechi zisizo wahusu mkahisahau mechi yenu.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Mar 30, 2024 #43 Mwenyekiti wenu mstaafu alikuwa sahihi sana kwa kuwaita mbumbumbu.
Trinity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2017 Posts 1,828 Reaction score 3,508 Apr 5, 2024 #44 Exy said: Toa namba Simba akifungwa tuje tutatuaa hizo Linda.... Kujitoa jf huwez utarudi kutumia account zingine. Click to expand... Mtu anasema anaacha kutumia jf wewe unakazana malinda.! Ndo kilichojaa kwenye ubongo wako bila shaka.
Exy said: Toa namba Simba akifungwa tuje tutatuaa hizo Linda.... Kujitoa jf huwez utarudi kutumia account zingine. Click to expand... Mtu anasema anaacha kutumia jf wewe unakazana malinda.! Ndo kilichojaa kwenye ubongo wako bila shaka.
Bemendazole JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2,649 Reaction score 6,680 Apr 5, 2024 #45 Mkuu. Mbona hujajitoa Jf! Unasubiri nini?
Exy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2022 Posts 3,146 Reaction score 5,520 Apr 5, 2024 #46 Trinity said: Mtu anasema anaacha kutumia jf wewe unakazana malinda.! Ndo kilichojaa kwenye ubongo wako bila shaka. Click to expand... Kuacha jf ndio nn? Kama ana akaunti nyingine?, alete Linda lake tusakachee. Sio analeta upuuzi hapan.
Trinity said: Mtu anasema anaacha kutumia jf wewe unakazana malinda.! Ndo kilichojaa kwenye ubongo wako bila shaka. Click to expand... Kuacha jf ndio nn? Kama ana akaunti nyingine?, alete Linda lake tusakachee. Sio analeta upuuzi hapan.